Credits

PERFORMING ARTISTS
Otile Brown
Otile Brown
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Otile Brown
Otile Brown
Songwriter

Lyrics

Teddy B... Mmmmh... mhhh Rangi ya mtome ndo bei Rangi ya mtome ndo bei Ngozi yake laini(Hmmmmhhh) Kiuno chake cha kipekee Kiuno chake cha kipekee Yaani figa nane kamili(Hmmmmhhh) Tena magari yanabishana kwao Usiku na mchana Washika dau na wasanifu oooho Mimi namlaumu mama (yako) Ulo ridhi matatizo Uzuri wako swaserii (ooooh hmmmmhh) Samantha (hey), Samantha Samantha oooh baby Baby you are my Samantha Samantha, Samantha Uzuri wako timilifu Samantha oooh beiby Hey nilipokuona Nilijua wewe ndo wangu Wala macho yangu hayakunidanganya (hmmmh) Sasa nisipokuona kama ninakosa kanisa Naogopa utanipora Samahani kama Nakuhukumu vibaya My beiby, ni kwa sababu nakupenda Na najua unanipenda Tatizo wivu ninao Mmmh beiby, basi tusonge lala Hakika ulivyojaza hilo tattoo Mimi macho kondo Utuapo madem hawakai Basi nipige game hadi ufurahi Wewe kiboko Mwalimu wako fundi hatari Samantha (hey), Samantha Samantha oooh baby Baby you are my Samantha Samantha, Samantha Uzuri wako timilifu Samantha oooh beiby Samantha (hey), Samantha Samantha oooh baby Baby you are my Samantha Samantha, Samantha Uzuri wako timilifu Samantha oooh beiby Badman girl show me badman thing Badman girl do badman thing Badman girl show me badman thing Badman girl do the badman thing Badman girl show me badman thing
Writer(s): Jacob Obunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out