Credits
PERFORMING ARTISTS
Willy Paul
Performer
Miss P
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Willy Paul
Songwriter
Lyrics
Mapenzi hainaga hodi
Unajikuta umependa mpaka yule odi
Mapenzi hainaga hodi
Unakuta umependa mpaka unajisahau
Ataka simple boy
Kana ka simple girl sehemu flani
Ataka simple guy
Kana ka simple boy sehemu flani
Mapenzi hayachangui kabila maeneo mama
Unatoka Ruaka ama unatoka Runda mama aah
Ukose upate Dont you worry (Worry)
Atakupa Mwenyezi (Mwenyezi)
Ukose upate don't you worry
Atakupa Mwenyezi
Unaweza fall in love na anyone
And I mean anyone
Unaweza fall in love na anyone
And I mean anyone
Mtoto wa Mathare (Ame fall in love)
Ame fall in love
Kaboy ka Salome (Kame fall in love)
Kame fall in love
Kasichana ka Nyeri (Kame fall in love)
Kame fall in love
Katoto ka Njambi (Kame fall in love)
Nimefall in love na nimependaga oh baby oh
Nimefall in love na nimependa oh baby oh
Kwa milima na maponde we penda
Kwani iko nini we penda
Usiwaze sana we penda
Usipatwe na pressure We penda
Mi nishakupenda my darling
Nishakupenda my lady
Nishakupenda my darling
Nishakupenda my baby
Mtoto wa Mathare (Ame fall in love)
Ame fall in love
Kaboy ka Salome (Kame fall in love)
Kame fall in love
Kasichana ka Nyeri (Kame fall in love)
Kame fall in love
Katoto ka Njambi kame fall in love
Nimefall in love na nimependaga oh baby oh
Nimefall in love na nimependa oh baby oh
Written by: Willy Paul