Music Video

Otile Brown - Baby love (Official Video) sms skiza 7300678 to 811.
Watch Otile Brown - Baby love (Official Video) sms skiza 7300678 to 811. on YouTube

Credits

PERFORMING ARTISTS
Otile Brown
Otile Brown
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Otile Brown
Otile Brown
Songwriter

Lyrics

[Intro]
Mmh
Ooh laa
Yeah yeah yeah
[Verse 1]
Thamani yako, uzuri wako
Naujua mwenyewe, sikuachi pengine uniache wewe
Alimradi unanipenda, peke yetu tutaishi kwenye dunia
Sikuachi pengine uniache wewe
[PreChorus]
Jiko we jiko langu kama mboni ya macho yangu
Ntakulinda mpenzi wangu
Jiko we jiko langu kama mboni ya macho yangu
Hmmn
Ntakulinda mpenzi wangu
[PreChorus]
Achana nao (Nao)
Achana nao (Nao)
Ooh achana nao
Hao wenye roho mbaya wanatusema vibaya
Achana nao (Nao)
Achana nao (Nao)
Ooh achana nao
Hao wenye roho mbaya wanatusema vibaya
[Chorus]
Baby love, wewe wangu, mi wako wa moyo
Oh baby love usije niacha kwa fitna na maneno yao
Baby love, wewe wangu, mi wako wa moyo
Oh baby love usije niacha kwa fitna na maneno yao
Mmh
[Verse 2]
Oh yeah
Huna habari, jinsi gani moyo wangu unaupendeza
We ndio furaha yangu we ndio amani yangu
[PreChorus]
Jiko, jiko langu kama mboni ya macho yangu
Ntakulinda mpenzi wangu
Jiko, jiko langu kama mboni ya macho yangu
Ntakulinda mpenzi wangu
[PreChorus]
Achana nao (Nao)
Achana nao (Nao)
Ooh achana nao
Hao wenye roho mbaya wanatusema vibaya
[PreChorus]
Achana nao (Nao)
Achana nao (Nao)
Ooh achana nao
Hao wenye roho mbaya wanatusema vibaya
[Chorus]
Baby love, wewe wangu, mi wako wa moyo
Oh baby love usije niacha kwa fitna na maneno yao
Baby love, wewe wangu, mi wako wa moyo
Oh baby love usije niacha kwa fitna na maneno yao
[Chorus]
Baby love, wewe wangu, mi wako wa moyo
Oh baby love usije niacha kwa fitna na maneno yao
Baby love, wewe wangu, mi wako wa moyo
Oh baby love usije niacha kwa fitna na maneno yao
[Outro]
Jiko, jiko langu, kama mboni ya macho yangu
Nitakulinda mpenzi wangu
Written by: Otile Brown
instagramSharePathic_arrow_out