Lyrics

[Verse 1]
Saa zingine anayekupenda humpendi
Unapenda mwingine
Anayependa mwingine hata asiye mpendanga noo!
Na kila mtu anataka type yake
Saa zingine hata wale wenye hadhi na sisi tunawakataanga noo!
[Chorus]
Ooh bwana allivyonipenda yule (Alivyonipendanga)
Alivyonipenda yule (Sikujali nikamuaga)
Allivyonipenda yule (Alivyonipendanga)
Alivyonipenda yules (Sikujali nikamuaga
[Verse 2]
Yule aliyenipenda bure
Nikamuacha kwa ajili yake yule
Aliyefata pesa na zaidi ya hiyo sikuwa na maana
[Verse 3]
Kweli macho yalinihadaa
Haki macho yalinihadaa
Alivyonipenda kwa bidii
Suzeed kanionya mimi sisikii
Urembo pekee hauridhishi
Inahitaji zaidi
[Verse 4]
Type yangu, oh ni yule anayejua thamani ya penzi langu
Type yangu, oh ni yule anayenienzi (Yule anayenienzi)
Ina maana gani (Uwe na msichana mrembo
Dunia nzima, na hakupendi?
Ina maana gani (Uwe na mume)
Mwenye hela chungu nzima na hakudhamini?
[Chorus]
Allivyonipenda yule (Alivyonipendanga)
Alivyonipenda yule (Sikujali nikamuaga)
Allivyonipenda yule (Alivyonipendanga)
Alivyonipenda yule (Sikujali nikamuaga
Alivyonipenda yule (Sikujali nikamuaga
[Verse 5]
Alikuwa wangu Wahu wakati nilikuwa Nameless
Nikimuona nasinzia ka Nameless
Uko? Ntakuja kalesa
Love ilikuwa genuine than leather
Na huyu we started kitambo
Wakati skuma mezani was diambo
Wakati stima kwangu was candle
Wakati birthday yake haikuwa na cake (Happy birthday)
[Verse 6]
Wakati nikisota alinipiga jeki
Nikachanganyikiwa na rangi ya thao
Yangu ikafunguka club ndio makao
Leo Macha kesho Coast tunakacha aah
Tulizi document snapchat
Niko empty nammiss kishenzi
Alinipa ya kweli mapenzi
Lonely mamiss alivyonipendanga
[Chorus]
Alivyonipenda yule (Alivyonipendanga)
Allivyonipenda yule (Sikujali nikamuaga)
[Outro]
Mzugaga nampenda ka mzugaga (Alivyonipendanga)
Mzugaga nampenda ka mzugaga (Sikujali nikamuaga)
Alivyonipenda oh yule, oh yule, alivyoni
Alivyonipendaga
Written by: Otile Brown
instagramSharePathic_arrow_out