Lyrics

Eeeh Wetin na do today Wapi zinachomwa crate Wetin na do today Wapi tunacelebrate Wetin na do today Wapi zinachomwa crate Wetin na do today Wapi tunacelebrate Kwanza bwana asifiwe hallelujah Tuliouona mwaka happy new year Kula pombe mpaka upande juu ya Meza ucheze chezea juu Lete misosi jiachie kula Maisha yenyewe vuvula Wanga ni wengi wa kuchura Na hatuijui kesho It's a hoooooo holiday Yani hooooooo holiday It's a hoooooo holiday Yani hooooooo holiday Holiday Hoo hoo holiday Hata nkisema nijichange Sijui mwaka gani ntajenga hicho kibanda Mwisho nije kufa bora nijipe raha kuliko kuzichanga Na mapenzi mtanange hayanaga fadhila hata uwe umejipanga We unagharimikia na kuna baharia anakula bure mwamba Ooh yani, mauzauza eeeh Mauzauza oooh Mauzauza Mapenzi Mauzauza Eeeh Mauzauza ooh Mauzauza eeeh eeh eh Mauzauza Mapenzi Mauzauza Kwanza Bwana asifiwe hallelujah Tuliouona mwaka happy new year Kula pombe mpaka upande juu ya Meza ucheze chezea juu Leta misosi jiachie kula Maisha yenyewe vuvula Wanga ni wengi wa kuchura Na hatuijui kesho It's a hoooooo holiday Yani hooooooo holiday It's a hoooooo holiday Yani hooooooo holiday Holiday Hoo hoo holiday Hoo hoo holiday Huyu zombie jama zombie Zombie ana karahaa Zombie ana sifa, Zombie ana balaa Huyu zombie jama zombie (We Zombie) Zombie ana karahaa (Haujuuiii) Zombie ana sifa, Zombie ana balaa Huyu Zombie nyie Zombie (Maaama) Huyu mwana ana balaa Kazombie kana sifa Zombie ana balaaa Huyu Zombie jama Zombie (We Zombie) Zombie ana karaha (Haujuuiii) Zombie ana sifa Zombie ana balaa Komasava komasava Ayaa ça va (Atii ayee sava) Ayaa sava (Aaah eeh n'eh) Ayaa ça va (Atii eeh aah) Ayaa sava (Komasava) Zombie hizi beat hazipigwagi Zombie hizi beat Ngithi wee sanibonani Hamba namajita sekphethe thina Ngyaphila ntwana wena unjani Aiiii wena ngithi vele ufanani Aiii we zombie sanibonani
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out