Music Video

D Voice Ft Zuchu - Nimezama (Official Lyric Audio)
Watch D Voice Ft Zuchu - Nimezama (Official Lyric Audio) on YouTube

Credits

PERFORMING ARTISTS
Dvoice
Dvoice
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Zuchu
Zuchu
Composer
Abduli Hamisi Mtambo
Abduli Hamisi Mtambo
Songwriter
Zuhura Othman Soud
Zuhura Othman Soud
Songwriter

Lyrics

Hhm! Habibi nikuulize swali Kipi cha kukuongeza Kama unaona bado sema kilichopungua Vingine vyote tayari madeko kunidekeza Umeniwezea haapo chali mi ushaniuwa Penzi lako mradi naweza kuuulikopea Mamlaka yenye kodi watudai na fidia Aah! Maana raha zimezidi paka zanimwagikia Hhhhmm! Maana raha zimezidi paka zanimwagikia Ufukweniiiii Ufukweni mwa bahari aaah! Mikono Mikono tumeshikana aaah! Mawimbi Mawimbi yameshamiri Nyoyo ziiime! Nyoyo zimesemezana Kwako nimezama Kwako nimezama Kwako nimezama Kwako nimezama Aah! Upande kanga ukinivalia Kiunoni shanga zinachungulia Ndo ugonjwa wangu, ndo ugonjwa waaa aaah! Wala siendi kwa mganga wakaniibia Mama nyakanga nimemrithia Sio shida zangu, sio shida zaaa Na aah! Huba lako biriani Lenye shombo shombo ya mbuzi Aiiy napenda unavyonisifu laini Aah! Nafaa kwa matumizi Ufukweniiiii Ufukweni mwa bahari aaah! Mikono Mikono tumeshikana aaah! Mawimbi Mawimbi yameshamiri Nyoyo ziiime! Nyoyo zimesemezana Kwako nimezama (Kwako nimeraaa niko rarararara) Kwako nimezama (Kwako nime nimezaama) Kwako nimezama (Oooh nimezaa nimezaama) Kwako nimezama (Kwako nime eeeh eeh zama) Hili penzi limemshindwa shetwani mkaa kichwani Mtaliweza nyinyi wapambe wakaa vibarazani Hili penzi limemshindwa shetani mkaa kichwani Mtaliweza nyinyi wapambe wakaa vibarazani
Writer(s): Abdul Juma Eid Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out