Featured In
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rajabu Ibrahim Abdukahali
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
B boy Beats
Producer
Lyrics
Konde boy call me number one
Bakhresa aah
Kwanza nimekua,nimemature
Mapenzi nayajua,nje ndani
Ya walimwengu si unayajua
Basi tuombe dua mbona litakua apangalo mwandani
Me I just wanna make you my babe
And I marry you today
Because I love you everyday
Forever and ever oooh
Ndugu jamaa na marafiki wapo
And am ready kula kiapo siwezi tabasamu usipo nilipo
My boo
Tena nishapenda (am in loove)
Nimependa tena ndo nishapenda Nimependa tena
Eti mimi huyuhuyu wa kupenda tena
Nishapenda(am in loove)Nimependa tena ndo nishapenda
In a life kuna kupanda na kushuka
Na kuteleza si kuanguka
Maex mtabaki kunikumbuka
Mana round hii sijakurupuka
Mana mi nna uhakika
Pili kwake nimefika
Tatu ye ndo anapika
Me napakua
Wapo wanaosema umeniroga
Ukinipa chakula unanipa na mboga
Mahaba yanamiminika tunaoga my baby boo
Me I just wanna make you my babe
And I marry you today
Because I love you everyday
Forever and ever oooh
Ndugu jamaa na marafiki wapo
And am ready kula kiapo siwezi tabasamu usipo nilipo
My boo
Tena nishapenda (am in loove)
Nimependa tena ndo nishapenda Nimependa tena
Eti mimi huyuhuyu wa kupenda tena
Nishapenda(am in loove)Nimependa tena ndo nishapenda
Writer(s): Rajabu Ibrahim, Mkombozi Juma
Lyrics powered by www.musixmatch.com