Lyrics

Mmm, ah, ah, ah Tumeuona mkono wake bwana Mengi mazuri tumeyaona Mungu umetenda Ni kweli we muweza Ulitamka vitu vikawa Neno tu latosha Ukisema umetenda Bahari shamu Isiraeli Ah uliwavusha Ukawatoa utumwani Watumishi wako umewapa Yote waombayo Ikiwa umependezwa Uamualo hakuna wa kulipinga Hakika we ni Mungu, wa vyote Unatawala dunia na vilivyomo Makuu umeyatenda, Jehova Hakika tumeona Tumeuona, mkono wako Bwana Matendo yako Bwana ni makuu mno Umetutoa mbali Ukatushika mkono Mahali uliona pekee hatuwezi Chini hata juu Watu unawainua Sifa na utukufu ni zako milele (Natutakusifu) twasifu jina lako Milele tutakusifu (ooh kweli) Daima we umwema tutaishi kwako Tumeuona, mkono wako Bwana Matendo yako Bwana ni makuu mno Umetutoa mbali Ukatushika mkono Mahali uliona pekee hatuwezi Chini hata juu Watu unawainua Sifa na utukufu ni zako milele Twasifu jina lako Milele tutakusifu Daima we umwema tutaishi kwako Ona, ona, ona, ona, ona, ona, ona Msalabani ulitufia Hmm, ulitupenda Dhambi zetu ukabeba Baraka zako tuliziomba kweli tumeona Hakika unabariki Oh hata vipaji we ndo hutoa Umetuwezesha Tunaimba na kusifu Walio haki hutowaacha Uliwaahidi Hata mwisho wa dahari Hmm, watu wako umewapa mamlaka Kwa jina lako Yesu Waponye Na huna ubaguzi Wote ni sawa kwako Umetuita Yesu, tupone Tumeuona, mkono wako Bwana Matendo yako Bwana ni makuu mno Umetutoa mbali Ukatushika mkono Mahali uliona pekee hatuwezi Chini hata juu Watu unawainua Sifa na utukufu ni zako milele Twasifu jina lako Milele tutakusifu Daima we umwema tutaishi kwako Tumeuona, mkono wako Bwana Matendo yako Bwana ni makuu mno Umetutoa mbali Ukatushika mkono Mahali uliona pekee hatuwezi Chini hata juu Watu unawainua Sifa na utukufu ni zako milele Twasifu jina lako, milele tutakusifu Daima we umwema tutaishi kwako Ona, ona, ona, ona Daima we umwema tutaishi kwako Ona, ona, ona, ona, ona Daima we umwema tutaishi kwako Ona, ona, ona, ona, ona Daima we umwema tutaishi kwako Ona, ona, ona, ona, ona Daima we umwema tutaishi kwako
Writer(s): Zabron Singers Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out