Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Alikiba
Alikiba
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ally Salehe Kiba
Ally Salehe Kiba
Songwriter

Lyrics

Mcheza bongo Mac Muga Yuko single sana Mac Muga Ukimwona mtu akijinamia kwa sababu ya maisha yamchanganya Chali wangu alizamia Kuenda kusini mwa Africa Huku pia akimchanua kwa sababu ya maisha aliyofuma Alikuwa maarufu sana Akajiona yeye ndo winner Kwa kujichanganya na wasichana Club zote za huko kujulikana Yeye Mac Muga Wewe Mac Muga Ah, hii dunia Mac Muga huruma! Mungusha asumani alipofika South Africa Alikuwa na maisha bora Ya juu, ya thamani tena yanayohitajika Magari yote kwa nyumba Mungusha asumani alipofika South Africa Alikuwa na maisha bora Ya juu, ya thamani tena yanayohitajika Magari yote kwa nyumba Mbona sasa amesharejea Hajui wapi ataanzia! Hakuna kazi mtu akajinamia Mac Muga hii ni dunia Akajichezea, Gari ya kutembelea Shida walimwelezea wasichana na shida zao akawatatulia Wewe upewe nini Mac Muga Mungu akupe nini Mac Muga? Nyumba ulijijengea, foro kuta nyumba Wewe ndio wewe, wengine fala! Wewe, Mac Muga Mbona sasa umeshatimua! South Africa wamekutimua Na sasa home usharejea Wewe Mac Muga Mungu akupe nini Mac Muga? Mungusha asumani alipofika South Africa Alikuwa na maisha bora Ya juu, ya thamani tena yanayohitajika magari makubwa, nyumba Mungusha asumani alipofika South Africa Alikuwa na maisha bora Ya juu, ya thamani tena yanayohitajika Magari makubwa, nyumba Mbona sasa amesharejea, Hajui wapi ataanzia Hakuna kazi mtu akajinamia Mac Muga hii ni dunia! Yipes kana huoni kwa Mac Muga Woi noma huruma kanyongo'nyea Afanye nini sasa, cha kufanya Kila anachachofanya anaona anakosea Yikes, kama huoni kwa Mac Muga Woi noma huruma kanyongo'nyea Afanye nini sasa, cha kufanya Kila anachachofanya anaona anakosea Akiwa jambazi gereza ataishia Akiwa mwizi anaona atauliwa Akifikiria kujiua Nafsi yamzusha basi analia Wewe Mac Muga! Mungu akupe nini Mac Muga? Wewe Mac Muga! Basi upewe nini Mac Muga? Mungu alikuzawadia Sasa ushachezea! Wewe Mac Muga! Basi upewe nini Mac Muga? Mungu alikuzawadia maisha Sasa ushachezea! Haya, haya Wangu Mac Muga Msela hao Wa mpani huna Wasee wa maskani wanakukimbia! Mac Muga noma Hee! Mac Muga Skonde, upige moyo konde Mac Muga!
Writer(s): Ali Saleh Kiba Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out