Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Alikiba
Performer
Hakeem - 5
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ally Salehe Kiba
Songwriter
Lyrics
Oooh aaaah
Oooh aaaah
Nooooh aaaah
Oooh aaaah
Mimi ninachotaka ulimwengu mzima wajue nimezimika eeh
Nakama kufanikiwa taratibu sikia mambo yatajipa eeh
Mi sina papara nasubira Mola atanipa eeh
Na kama mengine ameshanipa ndio mana nipo hapa eeh
So ndio mchezo gani huo
Wakunikonyeza konyeza mchumba hivyo
Wajua Mimi wanirusha roho
Na wee baby noo!
So ndio mchezo gani huo
Wakunikonyeza konyeza mchumba hivyo
Wajua Mimi wanirusha roho
Na wee baby noo!
Hasira hasara dear sikia wahenga walishasema eeh
Nami nitakasirika dear kesho nitakunyima eeh
So ndio mchezo gani huo
Wakunikonyeza konyeza mchumba hivyo
Wajua Mimi wanirusha roho
Na wee baby noo!
Nakshi nakshi mrembo uliwatosa matozi na vigogo
Unakuja kwangu ukawapa visogo
Ukawaona hawana mpango
Nakusema hupendi kuniona nalia
Hupendi kuniona nateseka
Na moyo wangu tena kuutesa
Nami na relax Kwa sasa
Oooh aaaah
Oooh aaaah
Nooooh aaaah
Valentine day heshima eeh
Mi nawe kuliko wote dunia nzima eeh
Na kama unanipenda eeh
Hakika Mimi utanilinda eeh
Valentine day heshima
Mi nawe kuliko wote dunia nzima
Na kama ninakupenda
Hakika wewe nitakulinda
Basi kwangu nakshi nakshi mrembo
Nishike bega tucheze wimboo
Leo ma-action na mavitendo
Mida ikifika tufanye mambo
Basi kwangu nakshi nakshi mrembo
Nishike bega tucheze wimboo
Leo ma-action na mavitendo
Mida ikifika tufanye mambo
Usije kusema umenipenda sababu Nina imba eeh
Tumia moyoo mawazo yatanizonga eeh
Basi kwangu nakshi nakshi mrembo
Nishike bega tucheze wimboo
Leo ma-action na mavitendo
Mida ikifika tufanye mambo
Basi kwangu nakshi nakshi mrembo
Nishike bega tucheze wimboo
Leo ma-action na mavitendo
Mida ikifika tufanye mambo
Nakshi nakshi mrembo uliwatosa matozi na vigogo
Unakuja kwangu ukawapa visogo
Ukawaona hawana mpango
Nakusema hupendi kuniona nalia
Hupendi kuniona nateseka
Na moyo wangu tena kuutesa
Nami na relax Kwa sasa
Oooh aaaah
Oooooh
Nooooh aaaah
Aaaaah
Njoo Ma hapa Kwa kifua
Unipe mapenzi now unipe Mi love
Njoo hapa ninakutaka
Machizi masharobaro zamani walikusaka
Ndo mahaba njoo kwa Ally K
Please my lover kwa R Kelly Mobel
Njoo hapa 'sijeku'fata
Machizi masharobaro longtime waliokusaka
Ndo mana Mi (Ndo mana Mi)
Nakusifia ila siamini wanafki wakiniambia
Wee malaya na unasifa mbaya
Waachane nasi isitoshe Mi nawakataa
Wakipiga hadith I don't care (Kupenda Mali tuwe wote)
Mrembo wangu usisuse (Mi ni wako usiondoke)
Nakuchum uniruhusu eeh (Wee niambie kitu chochote)
Una sababu tukeshe
Wakipiga hadith I don't care (Mi ni wako usiondoke)
Mrembo wangu usisuse (Wee niambie kitu chochote)
Nakuchum uniruhusu eeh (Aaaah aaaah)
Una sababu tukeshe (I love girl I love girl)
Written by: Ally Salehe Kiba