Top Songs By Dj Seven Worldwide
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Dj Seven Worldwide
Performer
Ibraah
Performer
P Mawenge
Performer
Salim Sadick Mutalemwa
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Salim Sadick Mutalemwa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
B Boy
Producer
Lyrics
Asante Mungu kwa kila siku unayotuingezea
Ni wazi kabisa kwamba unatupendelea
Kama makosa mbona daily tunakukosea
Upendo wako kwetu ni mkubwa nashindwa kuelezea
Viumbe wako wanaishi kwa visasi
Kuonyeshana love and peace hawataki
Dunia ingetawaliwa na mioyo safi pengine kusengekuwa na polisi na risasi
Yaani kitu sio kitu tunachangiana
Ndugu mmoja kwa mwenzio mapenzi hana
Kwenye kutafuta riziki kuna mengi sana
Wapo wanaopenda utoboe
Wapo ambao hawapendi bwana
I wish tungeishi kwa peace and love
Everyone would have a decent life
Mitaani kwote kuzagae kiss and hugs
Tungeiweka hii dunia into different vibes
So lets depend on prayers
God will lead us on the way out
And if we do good stuff when we get there
Only good stuff he gonna pay us
Tunavoishi wala so dunia inavyotaka
Ila tumependa wenyewe
Na ni rahisi we kubadilika kuanzia sasa
Change good kuishi peace and love
Yeah peace and love
Peace and love itafanya tuishi a decent life
Peace and love
Peace and love is all we need
Peace and love
Ni vyema tupendane sasa wanadamu
Maana dunia lini tutaiacha tufahamu
Kulingia wenzako kutowapa ata salamu
Sio utu sio sifa sio ujanja sio nidhamu
Vifo vya wenzetu ni dalili tosha
Kutukumbusha kwamba ata sisi tutaondoka
So tufanye mambo yalionyooka ili tuwache kumbukumbu njema uko tulikotoka
Tufanye dunia yeti iwe better place
Tuonyeshane love na sikuonyesha hate
Since I gonna be forever best nazidi kupush love forward never rest
Mungu mbele yako nishakaribia
Mikononi mwako naikabidhi Tanzania
Bariki africa yote na dunia
Pia nuru yako tutafrahi ukituangazia
So lets depend on prayers
God will lead us on the way out
And if we do good stuff when we get there
Only good stuff he gonna pay us
Tunavoishi wala so dunia inavyotaka
Ila tumependa wenyewe
Na ni rahisi we kubadilika kuanzia sasa
Change good kuishi peace and love
Yeah peace and love
Peace and love itafanya tuishi a decent life
Peace and love
Peace and love is all we need
Peace and love
Sote ni wamoja tushikane mikono tuimbe wote kwa pamoja
Chuki hazileti tija tuishi kwa Amani sote lento letu moja
Let's make a better place
Yote unayopitia Mungu anayaskia
Wote kwake ni sawa
Written by: Salim Sadick Mutalemwa