Top Songs By Vanillah
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Kayumba
Remixer
COMPOSITION & LYRICS
Fanuel Phabian Peter
Songwriter
Lyrics
Kama vya dunia vingali vyangu, nisinge miliki peke yangu, ningekupaa ga, ningekupaa ga
Na kama ningerithi vya baba angu, nisingemiliki peke yangu, ningekupaa ga, ningekupaa ga
Ingekuwa rahisi kupata, penzi rahisi kupataa, ningepetaa, sio kuishi kwa mashaka
Imekuwa neema kukupata kama nazisjadondokea mbata, ona nanenepaa aah, nanenepaa
Nilitafuta mwokano mimi, mwonekanoo, kumbe mapenzi yanadumu kwa watu wenye tabia mfanano
Mimi sina maumivu mimi, yasio na mfano, nilipokupata wewe yakafika kikomo
Malkia wangu uuhuu (Unanisitiri ehee), unanipenda na-na-na (Unanisitiri)
Silipi chochote (Mi unanisitiri), naishi bure ndani ya moyo wako (Unanisitiri)
Mdhaifu yangu umeyanfanya siri (Unanisitiri) aaha ah me unanisitiri eeh
Kweli Mola akipanga kukupa hakuna wa kupangua, ni neema kubwa kukipata kinvuli chini ya jua
Msione shavu ladondoka hapo mwanzo nilipungua ah-ah
Chaguo la moyo liliponza mwili kumjali aliyenibagua aah
Nilitafuta muonekano mimi, muonekanoo, kumbe mapenzi yanadumu kwa watu wenye tabia mfanano
Niliishi na maumivu mimi yasiyo na mfano, ila nilipokupata wewe yakafika kikomo
Mungu alijibu kunipa wewe (Unanisitiri), unanipenda na-na-na (Mi unanisitiri)
Silipi chochote (Mi unanisitiri), naishi bure ndani yako (Unanisitiri)
Mdhaifu yangu umeyanfanya siri (Unanisitiri) aah (Mi unanisitiri)
Una, una, unanisitiri nami nimepata wakunitunza mwili
Una, una, unanisitiri nami nimepata wakunipoza mwili
Eeh eiyee wakuniponza mwili, eeh
Written by: Fanuel Phabian Peter