Top Songs By Barakah The Prince
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Barakah The Prince
Performer
Baraka Adrew
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Baraka Adrew
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kidboy
Producer
Lyrics
Ooh oh we oh, oh-oh we oh
Ooh oh we oh, oh-oh we oh
Ooh oh we oh, oh-oh we oh
Ooh oh we oh, oh-oh we oh
Wakati nalainisha moyo kupenda sio kama ninakosea, ipo sababu ya kurejesha namba ambayo ilipotea
Hali ya mtoto kumsusa mama akishachapwa, ni sawa na mapenzi ukishapendwa unasahau hata kama ulishafanyiwaga ushenzi
Nakumbuka nilijuta sana kupenda-kupenda kusiko na thamani, ila hitaji la moyo la lazimisha kurudia zamani
Ooh oh we oh, oh-oh we oh
Mimi bado nina imani
Ooh oh we oh, oh-oh we oh
Ipo siku utanipa amani
Ooh oh we oh, oh-oh we oh
Mimi bado nina imani
Ooh oh we oh, oh-oh we oh
Jua me siachani (Nawe)
Na sishindani (Nawe)
Maana upo moyoni (Ndani)
Acha nisote mie
Ila mi siachani (Nawe)
Na sishindani (NAawe)
Maana upo moyoni (Ndani)
Acha nisote mie
Labda juu la kaburi utanipenda mimi nikiwa sina uhai, hisia zangu haziheshimiwi najidharau sifai
Heri ya upofu wa macho kwa yale nayoyaona, umeruhusu mboni zangu me kumwaga machozi
Yaani ungejua hisia za mapenzi, kutesa moyo ila bado hazichoshi kupendwa sipendwi najua wazi ila bado siridhikia
Maana kesho nitaurubuni moyo, unapendwa na unapenda me meno ila najiona kibogoyo, kweli penzi donda moyo
Ooh oh we oh, oh-oh we oh
Mimi bado nina imani
Ooh oh we oh, oh-oh we oh
Ipo siku utanipa amani
Ooh oh we oh, oh-oh we oh
Mimi bado nina imani
Ooh oh we oh, oh-oh we oh
Jua me siachani (Nawe)
Na sishindani (Nawe)
Maana upo moyoni (Ndani)
Acha nisote mie
Ila mi siachani (Nawe)
Na sishindani (Nawe)
Maana upo moyoni (Ndani)
Acha nisote mie
Jua me siachani (Nawe)
Na sishindani (Nawe)
Maana upo moyoni (Ndani)
Acha nisote mie
Ila mi siachani (Nawe)
Na sishindani (Nawe)
Maana upo moyoni (Ndani)
Acha nisote mie
Written by: Baraka Adrew