Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
CARTOON47
CARTOON47
Performer
COMPOSITION & LYRICS
DAVIS MNANGA OTATWA
DAVIS MNANGA OTATWA
Songwriter

Lyrics

Aaachew yoooh cartoon okee natuko onbill handsome B classic 0 0
Hasa jibonge usipende utani marafiki wasikugonge aaaah wee wacha tumbonge leo kinywaji juu ya meza usiniuzie unyonge weba aah weba
Sina mkopo leo twakesha kama popo wee ndio kiboko nitalamba mpka makoko aaaahaa usimwage pombe uwe mshamba hapa jina tujenge usibanebane nipe shamba natembea na jembe
Aibo aibo aibo
Chikichikichiki chii x4
Kuna dem ashafanyanga nikalia aaachew wacha leo nikunywe pombe nipunguze majiraha aaaya uumba
Aza wee aza hio aza mama wee x4
Aza wee aza hio x2
Mwenzenu mimi nikisha pendanga najionanga superstar siwezi kumwaga
Saula baby nipe kama unadedi nipe mautamu naskia unatoka watamu basi nichumu nipandishe mpaka wazimu
Baby eti tunawakera daily tunaspent mahela
Mimi nina mtoto wamutu kwa nyumba sio kwa ndoto sitaki kuyumba
Leo kutachimbika x2
Aibo aibo aibo
Chikichikichiki chii x4
Kuna dem ashafanyanga nikalia aaachew wacha leo nikunywe pombe nipunguze majiraha aaaya uumba
Aza wee aza hio aza mama wee x4
Aza wee mama hio x4
Tetete Terence on the track.
Written by: DAVIS MNANGA OTATWA
instagramSharePathic_arrow_out