Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
CARTOON47
CARTOON47
Performer
COMPOSITION & LYRICS
DAVIS MNANGA OTATWA
DAVIS MNANGA OTATWA
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mumo beats
Mumo beats
Producer

Lyrics

Aaaachew yo cartoon
Kila mtu na wake kila mtu awake x2
Nipewe pombe chakari chakari nilewe weiter usinipe stress wanao kutuma walenge
Sisi sio mafala ( heeee sio mafala) DJ ajalala ( heee ajalala) x 2
Naskia mko single mko single mnainjoi mkicheza huo wimbo huo wimbo amtoboi x2
Nipewe pombe pombe chakari chakari nilewe weiter usinipe stress wanao kutuma walenge
Sisi sio mafala (heee sio mafala) DJ ajalala ( heee ajalala) x4
Tunacheza na vikombe atutaki glass na wale wamelewa wasongo watupe nafasi atupoteza masaa tunakwenda na kazi baro nilale na jaa nikate makali
Mwenzenu nina pesa nina maringo nasubiri kifo ka kutesa natesa nakula na kijiko
Moto kama pa si si mnipe na fa si si tuko mwendo wa ka zi zi itabidi muenjoy
Written by: DAVIS MNANGA OTATWA
instagramSharePathic_arrow_out