Top Songs By CARTOON47
Credits
PERFORMING ARTISTS
CARTOON47
Performer
COMPOSITION & LYRICS
DAVIS MNANGA OTATWA
Songwriter
Lyrics
Aahchew wooza nation
Amen Amen asikribababa amen yesayesayesa amen hitat hitat amen
Sala langu la kwanza bariki mamangu amen sala langu la pili bariki babangu amen ata waseme ata waruge bariki wanangu amen
Wanapenda kuroga niwachawi hao kazi yao nikufanya nini matope kujipaka na kubeba mizoga
Wanapenda kuroga wakati tupo shamba tunalima mboga awapendi kuoga kazi kujipaka matope na kubeba mizoga
Wanaroga nisipate gari nipate shida ili wafurai ila jah jah baraka zimejaa jaa awapendi vile tunakaa wanajua tumetoka faaar far away nasema tumetoka tumetoka far away
Sala langu la kwanza bariki mamangu amen Sala langu la pili bariki babangu amen ata waseme ata waroge bariki wanangu amen ata waseme ata waroge bariki wanangu amen
Asikribababa amen yesayesayesa amen hitat hitat amen
Nasema oooohoh ohoho nasema oooh oooh ohoho
nasema God bless my way bless my friends bless my enemies x2
Amen x3
Asikribababa amen yesayesayesa amen hitat hitat amen.
Written by: DAVIS MNANGA OTATWA