Music Video

Haiwezi by Cartoon47 ft Stevo Simple boy & Ntosh Gazi(official video)SKIZA 9371877 TO 811
Watch Haiwezi by Cartoon47 ft Stevo Simple boy & Ntosh Gazi(official video)SKIZA 9371877 TO 811 on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
CARTOON47
CARTOON47
Performer
COMPOSITION & LYRICS
DAVIS MNANGA OTATWA
DAVIS MNANGA OTATWA
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Terence On The Track
Terence On The Track
Producer

Lyrics

Aaacheww au sio ndio manake yooh cartoon okey stivo simple boy
Ona by one two by two x4
Yeeeh Terence on the track yeeh
Mwenzenu mimi nikisha penda nakuanga zuzu zuzu zuzu we x4
I can\'t talk I can\'t see I can\'t walk I can\'t touch x2
Mwenzenu niko naonga mpaka pesa naongeza na magari mengine nitaongeza yoyo
Tabia za bareza tabia za tajiri vingine utauliza
Haya mapenzi nayajua yanachoma kama jua
Mmmh hambamba hapa hambamba mambo sambamba nipe mchezo wa kandanda kiuno shanga niuze na shamba sio kudanga nataka kukapanga aaacheww
We mama nipe tena pipiri papara x2
Mwenzenu mimi nikisha penda nakuanga zuzu zuzu zuzu wee x4
Aih ma ma ma ma moyo tukuza nisha zama ball tuliza
Basi baby tulia punguza pressure za hii dunia usipo chunga utakuja kulizwa heee nana
Unani confuse unanichanganya mtoto mali safi yuko freshi barida siunajua nikipenda nakuanga loyal kihepi sikuhanyi na mangoko
One by one two by two x4
Mwenzenu mimi nikisha penda nakuanga zuzu zuzu zuzu wee x4
Written by: DAVIS MNANGA OTATWA
instagramSharePathic_arrow_out