Featured In
Top Songs By Harmonize
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rajabu Ibrahim Abdukahali
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Wulan
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Huyo ex wakunifanya ninywe nilewe mbona simuoni (Simuoni)
Mawazo ya kunifanya ninywe nilewe me siyaoni (Siyaoni)
[Chorus]
Na ukiniona nipo kiwanja nipo hapa kuruka kwanja
Mara moja-moja navutaga ganja jicho likae kijanja
[PreChorus]
Mmh thanks baba God for the blessing am living my life no stress
Music is just my dream am chasing ukisikia nimelewa ni tetesi
Ona ninavyo nata aah na beat piano za kisasa na tbt
Mwendo wa kwaito tunayarudi you can tell sijalewa ni kusudi
[Chorus]
Leoo
Sijalewaaa, sijalewa
Sijalewa, me nafanya kusudi
Sijalewaaa, sijalewa
Sijalewa, me nafanya kusudi tuu
[Verse 2]
Aee aee
Siku nikilewa mtajua mbona mtajua, mmh
(Aeee) Kuna mtu hichi kichwa anakisumbua siku iyo mtamjua
[Verse 3]
Mwenzenu pombe nishaacha, kuvuta nishaacha
Ila mapenzi siwezi acha japo yananiumiza
[Chorus]
Na ukiniona nipo kiwanja nipo hapa kuruka kwanja
Mara moja moja navutaga ganja jicho likae kijanja
[PreChorus]
Mmh thanks baba God for the blessing am living my life no stress
Music is just my dream am chasing ukisikia nimelewa ni tetesi
Ona ninavyo nata aah na beat piano za kisasa na tbt
Mwendo wa kwaito tunayarudi you can tell sijalewa ni kusudi
[Chorus]
Leoo
Sijalewaaa, sijalewa
Sijalewa, me nafanya kusudi
Sijalewaaa, sijalewa
Sijalewa, me nafanya kusudi tuu
[Outro]
Na ukiniona nipo kiwanja nipo hapa kuruka kwanja
Mara moja moja navutaga ganja jicho likae kijanja
Written by: Rajab Abdul Kahali, Rajabu Ibrahim Abdukahali