Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Abigail Chams
Abigail Chams
Performer
Rayvanny
Rayvanny
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abigail Chams
Abigail Chams
Composer
Raymond Shaban Mwakyusa
Raymond Shaban Mwakyusa
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Jacob Emmanuel Mabala
Jacob Emmanuel Mabala
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Hivi nikuite fundi, mkufunzi wataka jina gani
Umejifunzia Pemba, Mombasa au ni tanga kunani
Ooh, wakosi vumbi, siyumbi yani niko tahabani
Mama panda mtungi, tuende Nungwi, kupitia kitanda
[Verse 2]
Ooh, taa-tamu tamu, penzi tamu tamu
Tukipeana, zamu zamu baba eeh
Taaa-tabasamu, haliinishia
Murembo umechanganya, na nidhamu
Mama eeh
[PreChorus]
Nikupe spaghetti (Nataka chocolate)
Ama tule baguette (Tukienda dinner date)
So can we make a bet? (Tonight we won't get rest)
A night you won't forget (I'm gonna make you sweat)
[Chorus]
Corazon (ladidadidadida, ladidadidadida)
Corazon (ladidadidadida, ladidadidadida)
Corazon (ladidadidadida, ooh ladidadidadida)
Corazon (ladidadidadida, ladidadidadida)
Corazon
[Verse 3]
Aate, aate (Aate)
Aate, aate (Aate)
Mbona niliowaacha eh
Wananimezea mate
[Verse 4]
Ohh pete pete (Pete)
Nitaionesha kokote (Pete)
Wajue mi ni mali ya mtu
Wasiya mezee mate
Umenituliza, me and your
Kupendwa nawe raha
Chonde ifunge zipu, ooh
[Bridge]
Matamu, matamu
Mapenzi matamu
Ukimpenda, anakupenda
Jamani matamu
[PreChorus]
Nikupe spaghetti (Nataka chocolate)
Ama tule baguette (Tukienda dinner date)
So can we make a bet? (Tonight we won't get rest)
A night you won't forget (I'm gonna make you sweat)
[Chorus]
Corazon (ladidadidadida, ladidadidadida)
Corazon (ladidadidadida, ladidadidadida)
Corazon (ladidadidadida, ooh ladidadidadida)
Corazon (ladidadidadida, ladidadidadida)
Corazon
Written by: Abigail Chams, Raymond Shaban Mwakyusa
instagramSharePathic_arrow_out