Lyrics
Oh ooh
Hey yeah yeah na na
Uh uh uuh
Beka unavyo beka kama mtoto
Ntakubembeleza mi ni wako, oh
Nita zidi kukupa vitu moto moto
Mapenzi kupendana sii mchezo
Na-kusi, hi usije naja mimi solemba
Najisihi na mimi in sijapata wewe solema
Tunavyo hi, shi wanandhani tunadanganyama
Sii rahisi, amini mimi na wewe tukatengana
Usiende mbali nami
Kwa mi bado nakupenda
Usondoke mbali nami
Mimi bado nakupenda
Usiende mbali nami
Kwa mi bado nakupenda
Usondoke mbali nami
Mimi bado nakupenda
Tangu niko na wewe ni furaha
Kukosa tosa nikaraha
Una wewe siwezi ishi
Kwako mi sio mbishi, hey hey hey
Wanapiga misele kila mara
Wanatimua mavumbi sisi twala
Wanaotaka mapinduzi
Na mapinduzi hawayawezi, ooh ooh
Ma, umivu ya mapenzi naogopa sana
Hata wivu ninao kani sina roho ya chuma
Na, kusihi usije niache mimi solemba-aa
Nagisi, na mimi nisije kuwacha wewe solemba
Usiende mbali nami
Kwa mi bado nakupenda
Usondoke mbali nami
Mimi bado nakupenda
Usiende mbali nami
Kwa mi bado nakupenda
Usondoke mbali nami
Mimi bado nakupenda
Usiende mbali nami
Kwa mi bado nakupenda
Usondoke mbali nami
Mimi bado nakupenda
Usiende mbali nami (hey, yeah yeah)
Kwa mi bado nakupenda
Usondoke mbali nami
Mimi bado nakupenda
Nakupenda manipenda usija penda mbali nami (oh maama)
Nakupenda manipenda usija penda mbali nami
Usiende-eeeh
Kwa mi bado nakupenda
Usondoke-eeeeeh, hey yeah yeah
Mimi bado nakupenda
Usondoke eh-eh-eh-eh-eh-eh-eh-eh-eeeh
Kwa mi bado nakupenda
Usondoke eh-eh-eh-eh-eh-eh-ehe-eh-eeeh
Mimi bado nakupenda
(Nakupenda manipenda usija penda mbali nami)
Nakupenda
Nakupenda sana (Nakupenda manipenda usija penda mbali nami)
Nakupenda we hey he-eh
Nakupenda sana (Nakupenda manipenda usija penda mbali nami)
Nakupenda we hey eh-eh
Nakupenda sana (Nakupenda manipenda usija penda mbali nami)
Nakupenda we hey eh-eh (Nakupenda manipenda usija penda mbali nami)

Hey hey hey hey (Nakupenda manipenda usija penda mbali nami)
Nakupenda usiende mbali
Oh oh oh oh, oh mbali na mi (Nakupenda manipenda usija penda mbali nami)
Nakupenda manipenda usija penda mbali nami
Nakupenda manipenda usija penda
Written by: Juliana Kanyomozi