Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Xouh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Fe tanzania
Songwriter
Lyrics
Naitwa xouh
Ndani ya kc records
Rimizy salimia jeydrama
Wanaitwa ma pedeger a.k.a masponsa
Hawa ndo wajanja wa zamani a.k.a vibopa
Hawaishiwi so mapenzi so pesa
Wana maajabu yao nawaita Mwamposa
Wanafata ulichonacho
Hawaangalii sura Wala tako
Ma handsome wa zamani hawana baya
Mwisho wa siku maisha ni yako Kama unae shoga mchunge wako
Ma handsome wa zamani hawana baya
Hawapelekeshi hawakupi stress
Pesa unapewa na anakupeti peti
Waishi milele masponsa
Wajengewe sanamu masponsa x2
Cha kwanza masponsa hawachoshagi
Kimoko tu kashatosheka ye Mambo shwari
Wazee wa miamala hawana habari
Kauli mbiu yao we taja nambari
Wanafata ulichonacho
Hawaangalii sura Wala tako
Ma handsome wa zamani hawana baya
Mwisho wa siku maisha ni yako
Kama unae shoga mchunge wako
Ma handsome wa zamani hawana baya
Hawapelekeshi hawakupi stress
Pesa unapewa na anakupeti peti
Waishi milele masponsa
Wajengewe sanamu masponsa x2
Written by: Fe tanzania