album cover
Dua Yangu
24,726
New Age
Dua Yangu was released on February 20, 2024 by Fe Tanzania as a part of the album Dua Yangu - Single
album cover
Most Popular
Past 7 Days
01:00 - 01:05
Dua Yangu was discovered most frequently at around 1 minutes into the song during the past week
00:05
00:40
01:00
01:20
01:45
02:15
02:25
02:30
03:00
00:00
03:49

Credits

PERFORMING ARTISTS
Xouh
Xouh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ramadhan Daniel
Ramadhan Daniel
Songwriter

Lyrics

Ewe Mungu hali yangu si unaiyona
Ni yule mimi tena nimekuja kwako kukuomba baba
Ya uchungu nayopitia unayaona
Si unasema nikisema mambo yangu kwako nitapata neema
Maana leo kama jana jana kama leo
Kila siku mi nalala kesho ata jana nimelala leo
Eeh mungu basi kama nina dhambi sana angalia familia yangu
Mwangalie mama angu
Mwangalie na baba yangu
Mungu wangu pia nakuomba sana bariki niwapendao
Bariki masela kitaani
Bariki washikaji zangu
Nakuomba sana
Hii ni dua yangu ya leo
Hii ni dua yangu ya leo
Hii ni dua yangu ya leo
Hii ni dua yangu ya leo
Najua namakosa unisamehe
Bado sijajipata eeh Mungu baba fungua miamala
Bando linakata muone mtoto wa mama samia na njaa
Pesa ndo inafanya watu wengi washinde njaa
Njaa ndo inafanya wengine waibe
Najua nazingua sometimes ubinadamu najisahau
Unisamehe
Eeh mungu basi kama ninadhambi sana angalia familia yangu
Mwangalie mama angu
Mwangalie na baba yangu
Mungu wangu pia nakuomba sana bariki niwapendao
Bariki masela kitaani
Bariki washikaji zangu
Nakuomba sana
Hii ni dua yangu ya leo (uuh mungu wangu)
Hii ni dua yangu ya leo (unisamehe)
Hii ni dua yangu ya leo (dua yanguu)
Hii ni dua yangu ya leo
Naomba unitimizie
Eeh mungu basi kama nina dhambi sana angalia familia yangu
Mwangalie mama angu
Mwangalie na baba yangu
Written by: Ramadhan Daniel
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...