Music Video

Maua Sama - Keep Quiet (Official Dance Video)
Watch Maua Sama - Keep Quiet (Official  Dance Video) on YouTube

Featured In

Lyrics

[Verse 1]
Hizi simu za asubuhi, basi atakuwa baby
Ama ndo danga jipya, fupi lenye matege
Eti siku hizi najishaua, hebu punguzeni ngebe
Wakipanga kunishusha, basi Yesu nibebbe
[PreChorus]
Ah nimehama Mbagala shoga yangu nipozi za madukani
Nakaribia kuenda Uturuki nahisi nitarudi mwakani
Zile picha zangu mlizosema za utupu, zimenipa profesa
Amenipa gari naendesha, ona nnavyowatesa
[Chorus]
Basi shh keep quiet, haya ndo maisha yangu
Mmh, si mnasema nadanga, basi nyie sio level zangu
Basi shh keep quiet, haya ndo maisha yangu
Si mnasema nadanga, basi nyie sio level zangu
[Verse 2]
Chocha, chocha, wanakuchocha
Ujanja wangu mi sishindani na wakimboka
Level zetu hazifanani unajichosha
Unataka ushindane na nani ndo nakupasha
[PreChorus]
Nimehamia Mbagala shoga wangu nipo Sinza madukani
Nakaribia kwenda Uturuki mi' si nitarudi mwakani
Zile picha zangu mlizosema za utupu, zimenipa profesa
Amenipa gari naendesha, ona nnavyowatesa
[Chorus]
Basi shh keep quiet, haya ndo maisha yangu
Mmh, si mnasema nadanga, basi nyie sio level zangu
Basi shh keep quiet, haya ndo maisha yangu
Si mnasema nadanga, basi nyie sio level zangu
instagramSharePathic_arrow_out