Lyrics

Nashangaa na hizi pesa, nilijikuta tu kivyangu eti mwanzoni ulinipenda, akabisha shetani huku kwetu
Lakini mbona hukuniambia, ya siri nijulie mitandaoni, ukweli ukaukimbia, eti mhusika ndo shetani
Ama ni kiki unatafutia, ndo maombi yangu moyoni, au ni showbiz na hujaniambia, nisijitese akilini
Ona tulianza bila mapeni, na leo tuna magari, nimekosa nini jameni, si ulitaka aliye maarufu
Uwape story magazeti, matusi pande mbili, kipenzi cha watu jameni, walitupenda sote wawili ila
(Loolaa) Yamemwagika hayazolekii (Loolaa)
Loola (Loolaa) yamemwagika hayazolekii (Loola), yamemwagika baabaa
(Loolaa) Sasa umeniacha na nanii, (Loolaa) rudi kwangu mimii
(Loolaa) Sasa umeniacha na nani mama yooh
(Loolaa) rudi kwangu mimii
Kweli nimeumbukaa sina hata hadhi ya kukutazama kwenye sura, nilioyafichaa mwangu moyoni yote umeyajuwa
Naona aibu mpaka kwa marafiki zangu, imekuwa chungu, kwa tamaa zangu
Nadia ulinipendagaa, na mapenzi yalinoga, mi ndo nilikumwaga, nakuomba msamaha wangu mama
Basi usiniadhibu, kwa kosa tayari nimekubali, acha kunihusudu, kila mahali ni mimi mitandaoni
Kugombana sio suluhuhisho mama aah ahaa, tusizidi kuuvunja mwiko mama wa mapenzi yetu mi na wee
(Loolaa) Sasa umeniacha na nanii, (Loolaa) rudi kwangu mimii
(Loolaa) Sasa umeniacha na nanii mama yoo, (Loolaa) rudi kwangu mimii
(Loolaa) Yamemwagika hayazolekii (Loolaa)
Loola (Loolaa) yamemwagika hayazolekii (Loola), yamemwagika baabaa
Umefanya pombe kuwa pacha wangu, kichwa ni mawazo kichwani mwangu
Na si unajua, nakupenda wewe iyee, hayazoleki hayazoleki wowoo
Nadia, Nadia wewe nakupenda
Written by: Nadia Mukami
instagramSharePathic_arrow_out