Top Songs By Otile Brown
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Otile Brown
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Otile Brown
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Moyo wangu aliumiza vibaya nanusurika kua hai
Nanusurika kua kua hai
Na kidonda ndugu lionipa kina maliza tu dawa
Katu hakiponi ooh akiponi! Ooh jamani
[Verse 2]
Ila kumuacha ndio siwezi ooh
Moyo umemchagua yeye japo najua hanipendi
Kua naye sitaki ooh
Ila sina budi moyo unamuitaji
[Verse 3]
Nampenda anajua ndio mana anajisheua
Moyo una kina kirefu kilichonieka kwake ndo sijaelewa
Nampenda anajua ndio mana anajisheua
Moyo una kina kirefu mmh
[PreChorus]
(Aaghaaghaagh) Haya mapenzi hayana macho
(Aaghaaghaagh) Masikini moyo wangu kapenda mahala sipo
(Aaghaaghaagh) Haya mapenzi hayana macho
(Aaghaaghaagh) Masikini moyo wangu kapenda mahala sipo
[Chorus]
Yule mbaya (Ndo nimpendaye)
Yule mbaya (Ndio nimtakaye)
Yule mbaya (Ndo nimpendaye)
Nafsi mtumwa wa moyo
[Chorus]
Yule mbaya (Ndo nimpendaye)
Yule mbaya (Ndio nimtakaye)
Yule mbaya (Ndo nimpendaye)
Nafsi mtumwa wa moyo
[Verse 4]
Kweli nafsi mtumwa wa moyo, moyo wangu
Niliishia kumkumbatia nilipomfunia wazi wazi na jamaa
Aliporudi nikampokea ila akanizuga tena na tena
Mdomoni mchungu ila nimeshindwa kumtema
[Verse 5]
Sipougenini ila ni kweusi, anachothamini fulusi
Tatizo mimi mfupi vyangu vyaliwa kichwani
Sipougenini ila ni kweusi, anachothamini fulusi
Tatizo mimi mfupi vyangu vyaliwa kichwani
[PreChorus]
(Aaghaaghaagh) Haya mapenzi hayana macho
(Aaghaaghaagh) Masikini moyo wangu kapenda mahala sipo
(Aaghaaghaagh) Haya mapenzi hayana macho
(Aaghaaghaagh) Masikini moyo wangu kapenda mahala sipo
[Chorus]
Yule mbaya (Ndo nimpendaye)
Yule mbaya (Ndio nimtakaye)
Yule mbaya (Ndo nimpendaye)
Nafsi mtumwa wa moyo
[Chorus]
Yule mbaya (Ndo nimpendaye)
Yule mbaya (Ndio nimtakaye)
Yule mbaya (Ndo nimpendaye)
Nafsi mtumwa wa moyo
[Chorus]
Yule mbaya (Ndo yulee)
Yule mbaya (Oh yulee)
Yule mbaya (Oh ndio maana)
Nafsi mtumwa wa moyo
[Chorus]
Yule mbaya (Ooh yulee)
Yule mbaya (Oh yulee)
Yule mbaya (Ndo anichanganya eeh)
Na mimi nko
Written by: Otile Brown