Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Abouado
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abubakary Hamza Mlao
Songwriter
Lyrics
Adocode
Verse 1
Hivi niukweli au naota ooh
Ukweli naota !
Mapenzi bebiee eeh unayonipa
Bukoba sheriee eeh umenifikisha
Sio buza kwa mparange kule kwenye vibweka
Yooh yooh ooh
Mapenzi matamu waja hamkusema
Napewa vitamu buza sweet coner
Mapenzi matamu wajaa hamkusema yeeeh
Napewa vitamu Ado minakoma eeeh
[ Chorus ]
Calculator eeh Calculator eeh
Calculator eeh nakosa majibu
Calculator eeh Calculator eeh
Calculator eeh majibu sipati eeh eehee
[Beat instrumental]
🎵🎵🎵
[Verse 2]
Mapenzi mapenzii mapenzi mama maaamapenzi hayana formula
Mapenzi mapenzi mapenzi mama maamapenzii hayana formula
Yule unaempenda yeye hakupendi
Yule anaekupenda wewe nawe humpendi
Mpendee akupendae asiekupenda achana nae
Mpeendee mpende eeeh
Mapenzi matamu waja hamkusema napewa vitamu
Buza sweet coner
Mapenzi matamu waaja hamkusema eeeh
Napewa vitamu Ado minakoma eeeh
[chorus]
Calculator eeh Calculator eeh Calculator eeh nakosa majibu
Calculator eeh Calculator eeh Calculator eeh majibu sipatiee eh aah aaah aaaah
Instrumental
🎵🎵🎵
Written by: Abubakary Hamza Mlao