Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mercy Masika
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mercy Masika
Songwriter
Christina B. Shusho
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Siku ya tatu, ya harusi ya Kana
Mji wa Galilaya, na mamake Yesu alikuwepo
Yesu na yeye alialikwa harusini
Pamoja na wanafunzi wake, eeh
Yesu akamwambia, "mama tuna nini nawe"
Kwani saa yangu haijawadia
[PreChorus]
Divai ikawaishia, mamake Yesu kamwambia
"Hakuna divai, hakuna divai, hakuna divai"
Maria akamwambia, watumishi
"Lolote akisema, nyinyi fanyeni"
[Chorus]
(Nikiwa na wewe) Sintoaibika
(Mimi na wewe) Sintoaibika
(Nikiwa pamoja na wewe) Sintoaibika
(Eh, eh) Sinto-sinto, to, Sintoaibika
(Rafiki Yesu) Sintoaibika
(Jehovah Jireh) Sintoaibika
(Oh yeah, yeah, yeah) Sinto, sinto kamwe (Nikiwa na wewe Yesu)
[Verse 2]
Katika kila hali, iwe ngumu iwe shwari
Mungu husema, Mungu husema
Na akisema, wala habadilishi
In a place of shame, He'll give you double-double
In a place of dishonor, He'll give you everlasting joy
Badala ya aibu, atanipa maradufu-dufu
Kwa utukufu wake, mimi naenjoy
[Verse 3]
Divai ikawaishia, mamake Yesu kamwambia
"Hakuna divai, hakuna divai, hakuna divai"
Maria akamwambia, watumishi
"Lolote akisema, nyinyi fanyeni"
[Chorus]
(Sinto, sinto) Sintoaibika
(Sinto, sinto) Sintoaibika
(Sinto, sinto, sinto) Sintoaibika
(Sinto) sinto, sinto kamwe
[Chorus]
Sintoaibika (Yeah, yeah, yeah)
Sintoaibika (Oh, oh, oh, oh, oh ooh)
Sintoaibika (Yii)
Sinto, sinto kamwe (Yeei)
[Chorus]
Sintoaibika (Sintoaibika)
Sintoaibika (Aah)
Sintoaibika (Huniachi Yesu)
Sinto, sinto kamwe (Ooh)
[Chorus]
Sintoaibika (Sinto, sinto)
Sintoaibika
Sintoaibika, sinto-sinto kamwe
Yesu yuko nawe
Written by: Christina B. Shusho, Mercy Masika