Top Songs By Stamina Shorwebwenzi
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Stamina Shorwebwenzi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
BONVENTURE ELIUTER KABOGO
Songwriter
BEATUS NELSON
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
BEATUS NELSON
Producer
Independent artist
Producer
TML
Producer
Lyrics
Verse 1
Sikujui haunijui nakutafuta sana/
Ningekuwa na namba yako ningekupigia sana/
Hivi wewe ni mwanamke au mwanaume unanichanganya/
Au hauna jinsia ni baraka au nilaana/
Okwy!
Labda nikuibie tu siri,hakuna anaekupenda unaonekana we mkatili/
Hivi wewe ni chawa wa mungu au unajitolea/
Maana mungu wetu anauruma au unajitegemea/
Natamani nijue,Rafiki yako nani/
Niunde nae urafiki ili uniache duniani/
Nakufika kila sehemu unatumia usafiri gani/
Maana kila sehemu upo dereva wako ni nani/
Ahaa/mbona sasa unafura/
Usichukulie vitu personal mbona unakunja sura /
Au kisa nimekuhoji au pengine haujapenda/
Usikonde verse ya pili sikubomoi nitakujenga/
Chorus
Motoni au pepo
Wapi mwisho wako kila siku najiuliza miiiii
Wakubwa Watoto unachukua wote we haujali ndoto kuishia njianii
Motoni au pepo
Wapi mwisho wako kila siku najiuliza miii…
Wakubwa Watoto…oooh..heey
Verse2
Israel bhana kuna vitu unafurahisha/
Mfano kifo cha eidamin daaada ulitisha/
Lakini mv bukoba melini ulifata nini/
Au unashape ya Samaki ndomana unaishi majini/
Unachoboa unawaondoa watu wasio na hatia/
Harafu unaacha mafisadi ili wazidi kutuibia/
Hivi we ni chama gani ngoja nikuulize kiutani/
Mbona kipindi cha kampeni hauwatoi viongozi duniani/
Nacho jiuliza hivi wew hauna hisia/
Mbona wapenzi kibao wanajiua unashuhudia/
Sitaki beef na wewe aah aah sitaki tabu/
Umeondoa wana wengi na tena bila sababu/
Si unamwona mwajuma,leo umemwacha yatima/
Ulipomchukua mama mzazi iliniumiza wangu mtima/
Nacho jua kifo ndiyo njia pekee ya kwenda mbinguni/
Umemchukua adi yesu na mtume aiseeh we ni muuni/
Chorus
Motoni au pepo
Wapi mwisho wako kila siku najiuliza miiiii
Wakubwa Watoto unachukua wote we haujali ndoto kuishia njianii
Motoni au pepo
Wapi mwisho wako kila siku najiuliza miii…
Wakubwa Watoto…oooh..
tunajiulizaaa
Hook
Deni gani duniani hatuja lipa/
Kila leo unachukua hautaki badirika
Sala gani ambayo imetupita
Geuza masikio na hope kabla hakuja kucha
Yeeeh!!!
We ni nani unaefanya dunia nzima watu wote wanakosa amaniiii
Oooh noooo…oooh yeeeeeh!!!
Chorus
Motoni au pepo
Wapi mwisho wako kila siku najiuliza miiiii
Wakubwa Watoto unachukua wote we haujali ndoto kuishia njianii
Motoni au pepo
Wapi mwisho wako kila siku najiuliza miii…
Wakubwa Watoto…oooh..heey
Tunajiulizaa……
Written by: BEATUS NELSON, BONVENTURE ELIUTER KABOGO