Lyrics

Mmmmmmh mmmmmh baba Ni we pekee wanijua vyema Kwko sitetereki kamwe Wanitenda mema na kunpa heshma Umenfanya nsimame Na km nkishikwa na shida Ntakimblia hekaluni mwako Ntaijza nafc mbele yako bwana Ntasema yote yanayonishndaaa Nlpo mie na ww upooo Nlpo mie na ww upo bwana×2 Aaaaaaah wanibarikiiii eeeeh Sitokuacha milele aaaaaah Wanilinda mie Aaaaanh Ntakuabudu milele ×2 Hakuna giza tena wala hakuna mashaka Umenvua lana umenivika baraka(uuuuh) Moyo wangu wakutamani ewe baba Nafsi yng yakulilia aaaah Umenijaza imani sio haba Neno lako nashikiliaaaa Umenshka mkono wako(asantee asantee) Umenivusha magumuu(asantee asantee) Nlipo mie na wewe upoo Nlpo mie na ww upo bwana ×2 Aaaaaaaanh wanibarikii eeeeh Sitokwacha milele(aaaaanh) Wanilinda mie eeeeh Ntakuabudu milele milele ×2 milele milele milele mileleeee oooooh baba aaaaah Wanibariki mimi wabariki na wao
Writer(s): Philbert Afred Gilioma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out