Featured In
Credits
PERFORMING ARTISTS
Navy Kenzo
Performer
Nandy
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Aika marealle
Songwriter
Emmanuel Mkono
Songwriter
Edward Mwaipungu
Songwriter
Nahreel
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Nahreel
Producer
Lyrics
Upendo usitie vigingi, kitandani mwendo wa bakora
Kichwani ibaki vumbi, meno kusaga mkongora
Ninavoliseti ilo keti, natema sumu ka dondora
Maji kulowesha nyeti, kifo cha mende kuchochora
Marafiki wa shuka ni kitanda na godoro
Ooh fisi yake mifupa sio supu ya kongoro
Au kisa ufundi maujuzi ndio unifanyie vibaya
Nivike sura ya mbuzi nikufichie mabaya
Me I'm bampa to bampa, me and you we are bampa to bampa
Penzi lako bampa to bampa, linanoga bampa to bampa
Ooh darling ee bampa to bampa, me and you bampa to bampa
Penzi lako bampa to bampa, linanoga bampa to bampa
Hey nimekuwa chizi
Majinuni kilaza na sijiwezi
Majuto ni mjukuu naridhika na wewe tuu
Kukuacha si thubutu, usiniache wewee
Tujinafasi kibampataa
Nitakuja kujuta ukinikataa
Tujinafasi kibampataa
Nitakuja kujuta ukinikataa
Me I'm bampa to bampa, me and you we are bampa to bampa
Penzi lako bampa to bampa, linanoga bampa to bampa
Ooh darling ee bampa to bampa, me and you bampa to bampa
Penzi lako bampa to bampa, linanoga bampa to bampa
Bampa, bampa, the men is hunter
Nampa, nampa, chochote anataka
Nipe tepetepe me nilowe, kisu chako nikinowe
Umenishika kwenye rowee hey
Marafiki wa shuka ni kitanda na godoro
Oh fisi yake mifupa sio supu ya kongoro
Au kisa ufundi maujuzi ndio unifanyie vibaya
Nivike sura ya mbuzi nikufichie mabaya
Me I'm bampa to bampa, me and you we are bampa to bampa
Penzi lako bampa to bampa, linanoga bampa to bampa
Ooh darling ee bampa to bampa, me and you bampa to bampa
Penzi lako bampa to bampa, linanoga bampa to bampa
Written by: Aika marealle, Edward Mwaipungu, Emmanuel Mkono, Nahreel