Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rajabu Ibrahim Abdulkahali
Rajabu Ibrahim Abdulkahali
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
B Boy
B Boy
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Wakisema ananidekeza wajibu
Mtoto kwa mama hakui siku zote
Na wakisema najipendekeza wambie karibu
Uzuri hachagui ni mama yetu sote
[Verse 2]
Umseme kwa mazuri hata machafu
Nenda CHADEMA urudi CUF
Atabaki kuwa mama
Hakuna kama mama
[PreChorus]
Alopewa na Mungu
Hawezi nyang'anywa kwa rungu
Hata wakija na majungu
Na visenti vyao vya wazungu
[Chorus]
Taifa lishasema ni Samia tena
Samia tena
Samia tena
Suluhu Samia
[Chorus]
Samia tena
Samia tena
Samia tena
Suluhu Samia
[Chorus]
Samia tena
Samia tena
Samia tena
Suluhu Samia
[Verse 3]
Uraisi hakuomba wala hakufikira
Ila tunae muomba ndie katutunukia
Konde hata asiponiomba kura yangu nitampigia
Amekomesha Kongomba, Mtwara kuchele tunashangilia
[Refrain]
Maji kila kona (Buree)
Watoto wanasoma (Buree)
Natibiwa homa (Buree)
Nani kama mama
[Verse 4]
Hakuna kama mama
Atabaki kuwa mama
Amerudisha ujamaa
Kama unakerekwa hama
[Verse 5]
Mere korekera mama
Atabaki kuwa mama
Amerudisha ujamaa
Kama unakerekwa hama
[PreChorus]
Alopewa na Mungu
Hawezi nyang'anywa kwa rungu
Hata wakija na majungu
Na visenti vyao vya wazungu
[Chorus]
Taifa lishasema ni Samia tena
Samia tena
Samia tena
Suluhu Samia
[Chorus]
Samia tena
Samia tena
Samia tena
Suluhu Samia
[Chorus]
Samia tena
Samia tena
Samia tena
Suluhu Samia
Written by: Rajabu Ibrahim Abdulkahali
instagramSharePathic_arrow_out