Top Songs By Otile Brown
Similar Songs
Lyrics
[Verse 1]
Rangi ya mtome ndo bei
Rangi ya mtome ndo bei
Ngozi yake laini
Hmmh
[Verse 2]
Kiuno chake cha kipekee
Kiuno chake cha kipekee
Yaani figa nane kamili
Hmmm
[Verse 3]
Tena magari yanabishana kwao
Usiku na mchana
Washika dau na wasanifu ooho
[Verse 4]
Mimi namlaumu mama (Yako)
Ulo ridhi matatizo
Uzuri wako swaserii (Ooh hmmhh)
[Chorus]
Samantha (Hey), Samantha
Samantha oooh baby
Baby you are my Samantha, Samantha
Uzuri wako timilifu Samantha ooh beiby
[Verse 5]
Hey nilipokuona
Nilijua wewe ndo wangu
Wala macho yangu hayakunidanganya
[Verse 6]
Sasa nisipokuona
Kama ninakosa kabisa
Naogopa utanipora
[Verse 7]
Samahani kama
Nakuhukumu vibaya
My beiby
Ni kwa sababu nakupenda
[Verse 8]
Na najua unanipenda
Tatizo wivu ninao
Mmh beiby
Basi tusonge lala
[Verse 9]
Hakika ulivyojaza hilo tattoo
Mimi macho kondo
Utuapo madem hawakai
Ooh
[Verse 10]
Basi nipige game hadi ufurahi
Wewe kiboko
Mwalimu wako fundi hatari
Ooh
[Chorus]
Samantha (Hey), Samantha
Samantha ooh baby
Baby you are my Samantha, Samantha
Uzuri wako timilifu, Samantha ooh beiby
[Chorus]
Samantha (Hey), Samantha
Samantha ooh baby
Baby you are my Samantha, Samantha
Uzuri wako timilifu, Samantha ooh beiby
[Outro]
Badman girl show me badman thing
Badman girl show me badman thing
Badman girl do the badman thing
Badman girl do the badman thing
Badman girl show me badman thing
Badman girl show me badman thing
Written by: Otile Brown