Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mejja
Vocals
Bahati
Performer
Lyrics
[Verse 1]
Nilipokosa nisamehe
Ulipokosa nikusamehe
Na maisha yaendelee eeh aah
[Verse 2]
Nilipokosa nisamehe
Ulipokosa nikusamehe
Na maisha yaendelee eeh
[Verse 3]
Rafiki zangu wanaulizia, wanaulizia
Ndugu zangu wanaulizia, yule wa zamani
Pastor Ng'amg'a anaulizia, anaulizia
Majirani wanaulizia, yule wa zamani
[Verse 4]
Nimemiss sauti yako ndani ya nyumba
Nimemiss nikisanif shash na we unafunga
Nimemiss tukioga pamoja
Nimemiss ukipika mi naonja
Nimemiss familia nimemiss manzi yangu
[Verse 5]
Ulikuwa beste yangu
Advice za mabeste ndo uliskia
Walikuchocha ukavunja familia but I hope
Mahali uko unafurahia
[Verse 6]
Pole bado napenda mtoto wako
Ukiwa na shida usiogope kusema
Maisha yako mi nakutakia mema
[Chorus]
Madi de Kansoul anaulizia, anauliza
Mama Hadija anaulizia, yule wa zamani
Willy Tuva anaulizia, anauliza
Governor Joho anaulizia, yule wa zamani
[Verse 7]
You never took your time to know me, time to know me
You never took your time to understand eeh
You never took your time to know me, time to know me
But loving you is all I had
[Verse 8]
Natamani siku zile, hisia zangu zinanikosea
Hata nikuone, ukiwa naye mi nawaombea
Natamani siku zile, hisia zangu zinanikosea
Hata nikuone, ukiwa naye mi nawaombea
[Chorus]
Maina Kageni anaulizia, anaulizia
Emali Havi anaulizia, yule wa zamani
Mwakideu anaulizia, anaulizia
Ata Otile anaulizia, yule wa zamani
[Chorus]
Ommy huruma anaulizia
Mtua anaulizia
Mama Cider anaulizia
Yule wa zamani
[Chorus]
Kiuna anaulizia
Mwende Clemmo anaulizia
Kwetu Mathare anaulizia
Yule wa zamani
[Chorus]
Mama mejja anaulizia, anaulizia
Kama wa Pango anaulizia
Pengting wa zamani