Lyrics

Kiherehere kimeniisha
Leo nimekuwa simulizi kwa mpenzi wako
Waninanga wee
Zaidi yanisikitisha
Eti nimekuwa chuma cha kafuro
Nipo juu ya mawe
Jikoni kwangu kaingia mdudu gani?
Mara kwenye kikombe mara sahani
Ona katibua maji kisimani
Ooh salala
Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua
Masala
Nimezidisha chenji kimeota nyasi
Mbaghala
Nilipita dirisha nafasi kuigombania
Nikabanwa
Kumbe basi limejaa na mlango upo
Haioni mboni yangu
Kiza kinene
Kibatari utambi umetumbukia
Kiza kinene
Yaila khidira yangu
Kiza kinene
Nimepekechwa nguzo niliyoegemea
Kiza kinene
Ah aah
I've been trying not to diss you
Mwenzako mimi nilikuwa sina issue mpenzi
Hope uko sawa, my darling
And I've been trying not to miss you
Ila unapoenda kutwa yangu maumivu
We yangu dawa ah, ooh ooh
Chumbani kwangu kaingia kunguni gani?
Mara kwenye kitanda mara kwa shati
Aii, haya ni maruani
Yanafanya nakosa amani
Ooh salala
Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua
Masala
Tushazamisha meli yameisha
Anamega
Nitaambia nini waingo mukhana tire na
Ingabanwa
Nina mafeelings ingawa sijiwezi
Hayaoni macho yangu
Kiza kinene
Koroboi utambi umetumbukia
Kiza kinene
Yaila ghidira yangu
Kiza kinene
It's never gonna be the same, no-no-no-no ooh
Kiza kinene
Hayaoni macho yangu
Kiza kinene
Koroboi utambi umetumbukia
Kiza kinene
Yaila ghidira yangu
Kiza kinene
It's never gonna be the same no-no-no-no ooh
Kiza kinene
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga
instagramSharePathic_arrow_out