Music Video

Mesen Selekta - Unyamwezi (Official Audio)
Watch Mesen Selekta - Unyamwezi (Official Audio) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mesen Selekta
Mesen Selekta
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mesen Selekta
Mesen Selekta
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mesen Selekta
Mesen Selekta
Producer

Lyrics

Badman killer
Shooter boy
Yeah
Ulivyonisusia hilo shundu kama umenipiga na jiwe Fatuma
Mnyamwezi nakuzoom jinsi unavyojituma
Mi naroll na ganja huku nimeuchuna
Sina wasi mi nasmoke na feeling za kununa
Yeye yeye yeye
Wananiona mi zombi zombi
Wanajifanya sa wao they know me
Kumbe ni uwongo no no no no no no no
Oya yaya
Wana wanakosa sana penalty
Mnyamwenga nawapiga chenga
Wanajiona sana smart like that
Wakati pisi zao zinanipenda
Unyamwezi siyo vichambi
Unyamwezi siyo kuvimba
Unyamwezi ni kulala kila siku unafilimba
Unyamwezi siyo kushinda maskani utayatimba
Unyamwezi kujituma mbele nyuma unajilinda
(Oya eeh)
Hata nikimbonji fofo ma show ooh
Baby show me
Oya tunapop jioni kiDon ooh
Ooh kiDon
Hata nikimbonji fofo ma show ooh
Baby show me
Oya tunapop jioni kiDon ooh
Ooh kiDon
Choma nyama weka pombe lager
Choma nyama weka pombe lager
Choma nyama weka pombe lager
Choma nyama weka pombe lager
Eti wanachuki na wahuni wakati rasta I\'m survivor
Unyamwezi kwenye roho ndiyo maisha yetu ya kawaida
Kama umepoa mnyamwezi basi let\'s see if you a rider
Bebe mbaya kali zote jua ndo wanangu wa faida
Mnyamwezi nime switch code siyo kama tozi
Nimekula jumba flani chini nimetinga brand
Na Shpapi flani kali kuntu imeng\'ara kinyamwezi
Na Shpapi flani imepoa kinyamwezi
Mnyamwezi unajikuta, Mnyamwezi changamoto
Myamwezi watu wanajuta, hupendwi na watoto
Mnyamwezi na msokoto, mnyamwezi kawa mnoko
Mnyamwezi chokocho, mnyamwezi ni kiboko
Myamwezi na midosho ka uyawezi acha shobo
Mnyamwezi hukai na demu bado unapiga watoto
(Tuna bounce)
Hata nikimbonji fofo ma show ooh
Baby show me
Oya tunapop jioni kiDon ooh
Ooh kiDon
Hata nikimbonji fofo ma show ooh
Baby show me
Oya tunapop jioni kiDon ooh
Ooh kiDon
Choma nyama weka pombe lager
Choma nyama weka pombe lager
Choma nyama weka pombe lager
Choma nyama weka pombe lager
Mesen
Ning\'ining\'a
TsGang Kingdom
Wanyamwezi tumepoa na Shpapileeee
I feel the music blowing in my mind
I feel the music blowing in my mind
(Oya twende)
Tuna bounce moja moja tuna bounce (Boogie down)
Tuna bounce moja moja tuna bounce (Roll it)
Tuna bounce moja moja tuna bounce (Check it out)
Tuna bounce moja moja tuna bounce (Mesen)
Written by: Mesen Selekta
instagramSharePathic_arrow_out