Top Songs By Mesen Selekta
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mesen Selekta
Chant Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mesen Selekta
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mesen Selekta
Producer
Lyrics
Milele I want you mi naona unanifaa
Moyo ni nyumba ya upendo Maria
Mi nakuimbia ili ulale Maria
Mi ntakupenda paka mwisho Maria
Ooooh oooh nakuja kwako ma
Acha nifanye vile unavyopenda ma
Niushike ni uchezee mwili wako wote ma
We mama yangu we ndo mwanangu mamaa
Ooooh oooh
Tutalala wote Ooooh oooh
Tutalala wote Ooooh oooh
Tutalala wote Ooooh oooh
Tutalala wote Ooooh oooh
Nakupenda
Nakutaka
Kwiti ya bolingo
Nakutaka
Nakupenda
Nakupenda sana akupenda
Nakupenda
We mzuri mno nakupenda
Mmmh
Nakuja kwako ma
Acha nifanye vile unavyopenda ma
Niushike niuchezee mwili wako wote ma
We ndo mama yangu we ndo mwanangu mama
Ooooh oooh
Mtoto mzuri sura yako inaita
Fanya unavyojua niwe baba yako kabisa
Let me sing to you maana vile unavyokatika
Ngoma ya kukuroga tayari uje ishaita
Kuhusu maswali sahau usiku ushafika
Kesho ni hadithi nyingine tufanye kabisa
Macho yangu yamekuona we mpenzi Maria
Upendo wa Maisha yangu nakupenda daima
Macho yangu yamekuona we mpenzi Maria
Upendo wa Maisha yangu nakupenda daima
Tutalala wote Ooooh oooh
Tutalala wote Ooooh oooh
Tutalala wote Ooooh oooh
Tutalala wote Ooooh oooh
Nakupenda
Nakutaka
Kwiti ya bolingo
Nakutaka
Nakupenda
Nakutaka
Kwiti ya bolingo
Nakutaka
Written by: Mesen Selekta