Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Kleptomaniax
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kleptomaniax
Songwriter
Ogopa Djs
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Ogopa Djs
Producer
Lyrics
[Intro]
Mr. DJ, Mr. DJ, Mr. DJ (Twende kazi wewe)
Mr. DJ, Mr. DJ, Mr. DJ (Twende kazi beshte)

[PreChorus]
Si lazma useme mwenyewe najua, nina madame wa kishua
Sura macho mbele na nyuma (Hey!)

[Chorus]
Swing-swing muziki ni boomba, talanta si ndumba
Rafiki acha kuzubaa (Dada amsha hizo mipacha)

[Verse 1]
Nina madame wa kila kabila wakamba wajaka
Madame wa ku-boogie na kucheza chakacha
Don't you wanna get with me tonight
Naughty naughty exercise
Nina madame wa kiafrika na siringi
Na mapandre makalasinga iko nini
[Verse 2]
E-yo nikata yamaanisha nini jamaa
Ukitaka kujua kuja nami baadaye
Mahali kuna mabaibe ka kadhaa
Nice bums, eh, alaa
Friday saa nne tuko ndani ya taxi
Madame kama thirty kuna joto vi-nasty
Wengine wakonda wengine fatty fatty
Weusi weupe wengine kati kati
Dere pole pole achana na shortie
Vitendo vinafanywa ndani ya moti
Juu dame ameshapiga magoti
Hoi! Roba acha dough!
[Chorus]
Swing-swing muziki ni boomba, talanta si ndumba
Rafiki acha kuzubaa (Dada amsha hizo mipacha)
Swing-swing muziki ni boomba, talanta si ndumba
Rafiki acha kuzubaa (Dada amsha hizo mipacha)
[Verse 3]
Shorty nataka wakati nipakate miniskirti
Na shati nivue mpaka mwenyewe useme hutaki girl
The way you popping it lazima nikustaki girl
Kwa mathee mazee itabidi nimesema ha
Lakini kwa nini mami mi zinanifanya natokwa na maji ka samaki girl
Ukiinama mi nasimama na nasimama kinyama
Jilaze mami lala na mtalala salama
Basi fanyeni the klep-kle-klep
Wale huko nyuma ongezeni the to-to-to your boy Depicto
[PreChorus]
Si lazma useme mwenyewe najua
Nina madame wa kishua
Sura macho mbele na nyuma (Hey!)
Si lazma useme mwenyewe najua
Nina madame wa kishua
Sura macho mbele na nyuma (Hey!)
[Chorus]
Swing-swing muziki ni boomba, talanta si ndumba
Rafiki acha kuzubaa (Dada amsha hizo mipacha)
Swing-swing muziki ni boomba, talanta si ndumba
Rafiki acha kuzubaa (Dada amsha hizo mipacha)
[Bridge]
Mr. DJ, Mr. DJ, Mr. DJ (Twende kazi wewe)
Mr. DJ, Mr. DJ, Mr. DJ (Twende kazi beshte)
Mr. DJ, Mr. DJ, Mr. DJ (Twende kazi baibe)
This once for we you and me, Nyash na kabaibe
[Chorus]
Swing-swing muziki ni boomba, talanta si ndumba
Rafiki acha kuzubaa (Dada amsha hizo mipacha)
Swing-swing muziki ni boomba, talanta si ndumba
Rafiki acha kuzubaa (Dada amsha hizo mipacha)
[Chorus]
Swing-swing muziki ni boomba, talanta si ndumba
Rafiki acha kuzubaa (Dada amsha hizo mipacha)
Swing-swing muziki ni boomba, talanta si ndumba
Rafiki acha kuzubaa (Dada amsha hizo mipacha)
Written by: Kleptomaniax, Ogopa Djs