Lyrics
[Verse 1]
Kama riziki unatoa, basi ntakosa
Ila kama ni Mola lazima ntapata
Kama riziki unatoa, basi ntakosa
Ila kama ni Mola lazima ntapata
[Verse 2]
Shetani muongo, muongo we!
Mbona umejawa na kinyongo bwana we!
Wajua, wajua shetani muongo, muongo we!
Mbona umejawa na kinyongo ndugu we!
Mbona niambie, niambie, niambie
Wapi nilipokuudhi naomba uniambie
Maana sio sawa kama we wanichukia
Nia njema nlio nayo kwako ndo mafanikio yangu
Wakati mimi nakuombea mema, waniwazia mbaya
[PreChorus]
Ooh sio sawa
Ooh so sawa
Ooh dhamira yangu ndo nguzo yangu
Ooh dhamira yangu ndo nguzo yangu
[Chorus]
Acha waseme
Acha waseme
Acha waonge
Acha waonge
Acha waseme
Acha waseme
Acha waonge
Acha waonge
[Verse 3]
Wewe unanichukia hadi zaidi unavyojipenda
Unafikiri nafikiri unavyofikiria mana nia zako sio njema
Chochote nachofanya unanielewa makosa
Lolote nalofanya unanihukumu vibaya
Wapi nilipokukosea ningependa unieleze
Wapi nilipokuudhi ningependa uniambie
Maana sio sawa kama wewe wanichukia
Nia ooh njema nlio nayo kwako ndio mafanikio yangu
Wakati mimi nakuombea mema waniwazia mabaya
[PreChorus]
Ooh so sawa
Ooh so sawa
Ooh dhamira yangu, ndo nguzo yangu
Ooh dhamira yangu ndo nguzo yangu
Ooh wema wangu ndo nguzo yangu
Eeh, ooh dhamira yangu ndo nguzo yangu
[Chorus]
Acha waseme
Acha waseme
Acha waonge
Acha waonge
Acha waseme
Acha waseme
Acha waonge
Acha waonge
[Outro]
Kama riziki unatoa, basi ntakosa
Ila kama ni Mola lazima ntapata
Kama riziki unatoa, basi ntakosa
Ila kama ni Mola lazima ntapata
Wajua we muongo, muongo we! Oh dhamira eeh
Amejawa na kinyongo bwana we
Wajua, wajua Shetani muongo, muongo we! Shetani muongo
Amejawa na kinyongo ndugu we
Written by: Otile Brown