Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
D Voice
Performer
Mr. LG
Performer
Abdul Hamisi Mtambo
Performer
Zuhura Othman Soud
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Zuchu
Songwriter
Innocent Balume
Songwriter
Abdul Hamisi Mtambo
Songwriter
Zuhura Othman Soud
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mr. LG
Producer
Lyrics
Ai, Pablo
(Mr Lg)
Ai, sweetie kuna kitu me nataka nikuambie
Lakini naogopa
Utaniona ka nina wivu hivi
Oh, sweetie nikunong'oneze wa pembeni wasisikie
Maana naogopa wataniona ka nina wivu hivi
'Asa sijui ndio ujinga
Sijui ndo ufala
Au sijui mazoea
Ila napata tabu ukiwa mbali maa
Maana nashindwa
Kula hata kulala
Mnyonge nanyong'onyea
Mwenzio napata tabu ukiwa mbali ma
Honey kwako me chizi poyoyo
Usiende mbali nami
We ndio tulizo la moyo
Honey kwako me chizi poyoyo
Usiende mbali nami
We ndo tulizo la moyo
Oh, na kama si wewe (nani)
Wa kuniliwaza (nani)
Kunibembeleza (nani)
Wa kunipepea nilale (nani)
Na kama si wewe (nani)
Wa kuniliwaza (nani)
Kunibembeleza (nani)
Wa kunipepea nilale (nani)
Mmh
Zu chu chu chu
Kuna vyenye utimamu
Unanitoka na kuwa chakaram
Hii inaitwaje kitaalam
Ukitajwa kimoyo me paa
Why, why, why, why, utamu
Mshwiti Mshwiti bubble gum (bubble gum)
Yaani yam, yam, yam, yam, yam
Ndo mapenzi au ufalaa
Why, why, why
Kwanza yote tisa kumi
Moyo umeuhamisha kambi
Unanipa penzi sabuni
Lanitakatisha dhambi
Wanasubiri
Livunjike penzi hili
Hatutishwi na tumbili
Kuachana apende Mwenyezi
Honey kwako me chizi poyoyo
Usiende mbali nami
We ndo tulizo la moyo
Eh
Honey kwako me chizi poyoyo
Usiende mbali nami
We ndo tulizo la moyo
Oh, na kama si wewe (nani)
Wa kuniliwaza (nani)
Kunibembeleza (nani)
Wa kunipepea nilale (nani)
Eh, na kama si wewe (nani)
Na kama si weweeee
(Nani, nani, nani)
Wa kunidekeza
(Kamix Lizer)
Writer(s): Zuhura Othman Soud
Lyrics powered by www.musixmatch.com