Similar Songs
Lyrics
Baby ooh baby ooh
Ongeza sauti ya redio
Mwenzio mwenzio
Nataka nikiangushe kilio
Hata ukiplay sikinde
Sabufa lazima lishinde
Kiuno na mgongo nkipinde
Nakupa kisima kichimbe
Nifanye moyo uridhike
Mpaka jasho litiririke
Hujaniita jina niitike
Wajibu wako uwajibike
Siwezi kukimbiza mwizi
Bila kupiga kelele
Gari ikifika na ndizi
Nishushe nichume tembele
Uridhike moyo uridhike moyo baba
Uridhike moyo uridhike moyo baba
Uridhike moyo uridhike moyo baba
Uridhike moyo uridhike moyo baba
Aaaah iiiiih moyo wanguu
Umenikaa kichwani mwilini umetapakaa
Penzi lavunja mizani tani kumi gari ya mkaa
Wapinge wapinge wenye maneno yakuchokonoa
Wasije wasije ngoma ya penzi wakaitoboa
Nimezidiwa nimezidiwa
Nilisombwa penzi maradhi natibiwa
Makoko matandu chapoko kisamvu
My toto my wangu sikuibe vishanduu
Uridhike moyo uridhike moyo baba
Uridhike moyo uridhike moyo baba
Uridhike moyo uridhike moyo baba
Uridhike moyo uridhike moyo baba
Uliposhika pabaya mwenzako naona haya
Umegusanisha nyaya umenilipua fire huna baya
Writer(s): Hellen Majeshi
Lyrics powered by www.musixmatch.com