Lyrics

Mi nataka kuwa nawe
Wa na wewe tu
Ulonifanya kuwa nawe
Wa na wewe tu
Aaah
Aaah
Mi nataka kuwa nawe
Wa na wewe tu
Ulonifanya kuwa nawe
Wa na wewe tu
Mi nataka kuwa nawe
Wa na wewe tu
Ulonifanya kuwa nawe
Wa na wewe tu
Mpenzi wangu nakupenda (Lead on)
Mimi kwa mwingine sitokwenda
(I wont go nowhere)
Mpenzi wangu nakupenda
Jua kwa mwingine sitokwenda
Kupenda sitochoka
Milele mi moyoni nitakuweka
Kupenda sitochoka
Milele mi moyoni nitakuweka
(I know you like it girl)
Kuna watu wanachonga (chonga)
Wanasema umenipa limbwata
Kuna watu wanachonga
Wanasema umenipa limbwata
(Oh My God)
Hata kama wakichonga
Ujue bado mimi nakupenda
Hata kama wakichonga
Ujue bado mpenzi nakupenda
Mi nataka kuwa nawe
Wa na wewe tu
Ulonifanya kuwa nawe
Wa na wewe tu
Mi nataka kuwa nawe
Wa na wewe tu
Ulonifanya kuwa nawe
Wa na wewe tu
Nitazame nlivyokonda
(Alright den)
Yote kwa sababu nakupenda
(di gyal dem skilled out here)
Nitasame nlivyokonda
Eti kwa sababu nakupenda
(Feel me with all your heart)
kukuacha sitoweza (Alright)
Ntakufwata pale we utapokwenda
(Risking them cold nights)
Kukuacha sitoweza (Okay)
Ntakufwata pale we utapokwenda
Watu wananiita zoba (zoba)
Wanasema eti umeniroga (baby gyal)
Watu wananiita zoba aah
Wanasema eti umeniroga
(I'm all on you gyal)
Hata kama wakichonga
Ujue bado mimi nakupenda (Freakin baby)
Hata kama wakichonga (Okay)
Ujue bado mpenzi nakupenda (Alright den)
Mi nataka kuwa nawe
Wa na wewe tu
Ulonifanya kuwa nawe
Wa na wewe tu
Mi nataka kuwa nawe
Wa na wewe tu
Ulonifanya kuwa nawe
Wa na wewe tu (Shirko pretty gyals dem call me, okay)
Me know me wanna be with ya
Baby gyal me still believe ya (believe yah)
I'll take you to be my wife to be
yah know me won't decieve ya (decieve yah)
Me love ya dats true hey baby gyal you my crew (yo my crew)
Me gonna be with you if you say I love you too (I love you too)
Remember let's stick I'll let you be my boo (My boo)
I'll never gonna stay alone i wanna be with you
Pretty gyal you make me fantasize the way you hypnotize
Yo looking beautifui untill dem crew dem realize.
Mi nataka kuwa nawe
Wa na wewe tu
Ulonifanya kuwa nawe
Wa na wewe tu
Mi nataka kuwa nawe
Wa na wewe tu
Ulonifanya kuwa nawe
Wa na wewe tu
Yo, 2berry, Shirko, Mapigo
Tedy Records
Ya, and Metro too, yeah
Yeah
Mi nataka kuwa nawe (yeah)
Wa na wewe tu (Yeah)
Ulonifanya kuwa nawe
Wa na wewe tu
Mi nataka kuwa nawe (kuwa nawe)
Wa na wewe tu (wewe tu ooh)
Ulonifanya kuwa nawe (kuwa nawe)
Wa na wewe tu (Ooh)
Ooh
Written by: Awadh Salim Awadh
instagramSharePathic_arrow_out