Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Amber Lulu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Lulu Auggen Mkongwa
Songwriter
Lyrics
Nimepata free call twende kwenye gambe (gambe gambe)
uwe wa kusimamia show niende na wapambe (pambe pambe)
Leo watakoma wote tupo high eeeh
si unanisoma sinaga shy eeeeh
nauliza ukwapi tukutane masaki
Chukua taxi kwani sh ngapi
Huku kumewaka sio kitoto (aaah aio kitoto)
Tunafunga mwaka kwa mitoko (aaah kwa mitoko)
lover lover (your my lover i swear you made me crazy aah baby baby)
wako wapi wale waliotaka shindana na mimi
mbona wako vile vile me napanda wao wapo chini
Sa Tujiachie si unajua tena (mambo bam bam)
Leo tufurahie tena tufanye mapema (nama sham sham)
Leo watakoma wote tupo high eeeh
si unanisoma sinaga shy eeeeh
makelele kama king'ora anasema mi kigora
Tukifika tunamchora kwa shiling ama dollar
Huku kumewaka sio kitoto (aaah aio kitoto)
Tunafunga mwaka kwa mitoko (aaah kwa mitoko)
lover lover (your my lover i swear you made me crazy aah baby baby)
Country weezy baby
Piga kimya tupa kule mama lets dance
usiku wa leo hutokwenda bure usiponipa chance
sio kuSexy no ni kudance na kubugi
kiuno chako unavyokata untadhani unA makusudi
Mfukoni nina mafumba niko bwii kichwa kimeanza kuyumba
hivi viuno chuo gani umejifunza Abiria
chunga mzigo wako wangu nilisha uchunga
Zile distance sikuachi kabisa
wanavo kunyemelea hawa matozi wananitisha
Na tena sipatii picha zile kwichi kwichi leo party likiisha babe
Leo watakoma wote tupo high eeeh
si unanisoma sinaga shy eeeeh
Huku kumewaka sio kitoto (aaah aio kitoto)
Tunafunga mwaka kwa mitoko (aaah kwa mitoko)
lover lover (your my lover lover i
swear you made me crazy aah baby baby)
Leo watakoma! (Amber Lulu babee)
si unanisoma sinaga shy eeh (kiuno chako unachokata kama
unamakusudi babe na tena sipatii
picha zile kwichi kwichi party likiisha)
Leo watakoma!
Written by: Lulu Auggen Mkongwa