Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
V-Be
V-Be
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Dennis Njoroge Wambui
Dennis Njoroge Wambui
Songwriter
Philip Munyao Mutuku
Philip Munyao Mutuku
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Sipendi fundi wangu wa nguo
Ile dress yako ameiweka sana
Tutakosana, if only I could buy you Gucci or Dior
[Verse 2]
Agal toto I could be your jaluo
Noti ya thao upanguzie makamasi
How I wish pesa hazingenishinda mbio
[Chorus]
But if wishes were horses
Ningeiba moja Ngong Racecourse
Picha ya Monalisa nitoe niece yako
Ntafanya anything just because
[Chorus]
If wishes were horses
Ningeiba moja Ngong Racecourse
Picha ya Monalisa nitoe niece yako
Ntafanya anything just because
[Refrain]
Kirubi angeniachia mali, ungefurahi
Dangote angekuwa jirani, ungefurahi
Niibe tittle deed ya Mama Ngina, ndio ufurahi
Chandaria wange adopt mtu mzima, ungefurahi
[Refrain]
Kirubi angeniachia mali, ungefurahi
Dangote angekuwa jirani, ungefurahi
Niibe tittle deed ya Mama Ngina, ndio ufurahi
Chandaria wange adopt mtu mzima, ooh
[Bridge]
Mmheh
Mm, mm mmheh
Mmheh, mmheh, mmheh
Mm mm mmheh
Mmheh (ingedai)
Mm, mm mmheh (Aki ya ngai)
Mmheh, mmheh, mmheh (Ungefurahi)
Mm, mm mmheh
[Verse 3]
Mi pastor ushuhuda ni umeiva shinda Huddar, (na sio Kanyari)
Kwani we ni bama juu umebeba nyama, (mmhm)
Mi dere wa mat nipin manamba
Mtoto mmoja beauty Riri tu ndio anakufana
[Verse 4]
Tuesday ikifika gallery yangu unajaza
Project ya Picasso we ni artwork ya wanga, (ya wanga)
Nilambe ndimu juu ya vile we nimsour
Nimekusoma graduation ni ukigawa
[Verse 5]
We nimfly kushinda hostess ntakosa aje unga?
Louis V sahii ni tricky but kamera unaeza dunga
Nikufungie macho permanently kama Rugger
Standards tunaset kina Dufanda watashtuka
[Verse 6]
Ka unapenda gardens kuna Masinde Muliro
Ukiona kandizi unaeza harvest ujishibishe marigu
Marie Stopes, ah ah, hatusimami
Watoto ni chwani tight nuts kitandani
[Chorus]
Horses
Ningeiba moja Ngong Racecourse
Picha ya Monalisa nitoe niece yako
Ntafanya anything just because
[Refrain]
Kirubi angeniachia mali, ungefurahi
Dangote angekuwa jirani, ungefurahi
Niibe tittle deed ya Mama Ngina, ndio ufurahi
Chandaria wange adopt mtu mzima, ungefurahi
[Refrain]
Kirubi angeniachia mali, ungefurahi
Dangote angekuwa jirani, ungefurahi
Niibe tittle deed ya Mama Ngina, ndio ufurahi
Chandaria wange adopt mtu mzima, ooh
Mmheh (Ingedai)
Mm, mm mmheh (Aki ya ngai)
Mmheh, mmheh, mmheh (Ungefurahi)
Mm, mm mmheh
[Bridge]
Mmheh (Ingedai)
Mm, mm mmheh (Aki ya ngai)
Mmheh, mmheh, mmheh (Ungefurahi)
Mm, mm, mmheh
[Chorus]
If wishes were horses
Ningeiba moja Ngong Racecourse
Ningeiba moja Ngong Racecourse
Ningeiba moja Ngong Racecourse
[Outro]
If wishes were horses
Ningeiba moja Ngong Racecourse
Ngong Racecourse
Ngong Racecourse, yeeh
If wishes were horses
Written by: Dennis Njoroge Wambui, Philip Munyao Mutuku
instagramSharePathic_arrow_out