Top Songs By Moni Centrozone
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Moni Centrozone
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Moni Centrozone
Songwriter
Lody Music
Songwriter
Lyrics
Intro
Malume , majengo sokoni, lody music on this one ,s2kizzy beibi!!
Walisemaga wewe tasa leo unatema mate kila mara,
Wamekuzidi nini sasa hujipodoagi ila unang’ara,
Unanipa presha mara bp,sioni kwako mi sisikii,
Umebarikiwa humanity, unanipa tendo hata ukiwa P,
Hivi kwanini unanikoleza unanikoleza unanikoleza,
Yaani yaani unanikoleza unanikoleza unanikoleza,
Niseme nini baby koleza unanikoleza unanikoleza,
Yaani yaani unanikoleza unanikoleza unanikoleza kilaini,
Verse 1
Nampikia na breakfast baada ya sex ka zawadi,
Nataka nimueke kwenye bango km style ya zamaradi,
Na kila akitaka mapenzi malume nipo incharge
Kila utakapotuona ni km ndege turukao,
Wakodishe ukimbi kutaka kutuwekea vikao,
Kuanziq Rangi Mpk ngozi nguo zinakaaa mikao,
Aaf kitandani Tu Mapozi kunibadilishia mikao,
Kuhusu pesa nazichase sana
Na sina stress kuhusu ex mama
Nazingatia tupate dona na sembe
Walisema penzi kitovu cha uzembe
Chorus
Hivi kwanini unanikoleza unanikoleza unanikoleza,
Yaani yaani unanikoleza unanikoleza unanikoleza,
Niseme nini baby koleza unanikoleza unanikoleza,
Yaani yaani unanikoleza unanikoleza unanikoleza kilaini,
Verse 2
Umenifanya nimesahau kuhusu first love
Furaha huongezeka ikiwepo pesa
Natembea kifua mbele km wrestler
Hicho ni kipaji extraa
Madem instagram wanaongoza kwa drama
Ohh yeeh yeeh
Unawaona wana furaha wana ugonjwa wa trauma,
Nishazunguka kupata kama we usiku na mchana,
Napenda ukiniita chibaba nami nakuita chimama,
Kuhusu pesa nazichase sana
Na sina stress kuhusu ex mama
Nazingatia tupate dona na sembe
Walisema penzi kitovu cha uzembe
Chorus
Hivi kwanini unanikoleza unanikoleza unanikoleza,
Yaani yaani unanikoleza unanikoleza unanikoleza,
Niseme nini baby koleza unanikoleza unanikoleza,
Yaani yaani unanikoleza unanikoleza unanikoleza kilaini,
Written by: Lody Music, Moni Centrozone