Top Songs By Abigail Chams
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Abigail Chams
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abigail Chams
Composer
Sweetbert Charles
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Sweetbert Charles
Producer
Sweetbert Charles Mwinula
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Haya maisha joo hakuna part 2
Na ndio maana
Kila siku kwangu kama siku kuu
Napambana
[PreChorus]
Natafuta dooh
Nijikoshe roho
Nijipoze koo
If you know you know
Natafuta dooh
Nijikoshe roho
Nijipoze koo
If you know you know
Ooh kwani
[Chorus]
Tunaishi mara moja acha kujibana
Liwalo liwe, naenjoy bwana
Tunaishi mara moja acha kujibana
Liwalo liwe, naenjoy bwana
[Bridge]
Pombe nakunywa, bata nakula
Kote navuma na ninamuogopa Mungu
Pombe nakunywa bata nakula
Kote navuma na ninamuogopa Mungu
[Verse 2]
Money don't lie, gonga cheers tufurahi
Nishajipata now niacheni nijidai
Mmh, mmh, uh no-no
[Verse 3]
Everyday be day to party, (Uh-huh)
Living life like it's a movie (Uh-huh)
Out all night and in the morning
We hungover, we hungover (Uh-huh)
9 to 5 i work i no sleep (uh-huh)
Steady grind all days of the week (Uh-huh)
I get the green to light up the green
So come over, come over
[PreChorus]
Natafuta dooh
Nijikoshe roho
Nijipoze koo
If you know you know
Natafuta dooh
Nijikoshe roho
Nijipoze koo
If you know you know
Ooh kwani
[Chorus]
Tunaishi mara moja acha kujibana
Liwalo liwe, naenjoy bwana
Tunaishi mara moja acha kujibana
Liwalo liwe, naenjoy bwana
[Outro]
Pombe nakunywa, bata nakula
Kote navuma na ninamuogopa Mungu
Pombe nakunywa bata nakula
Kote navuma na ninamuogopa Mungu
Written by: Abigail Chams, Sweetbert Charles