Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Exray Taniua
Exray Taniua
Performer
Mejja
Mejja
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Tony Kinyanjui
Tony Kinyanjui
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Byron
Byron
Producer

Lyrics

(HOOK)
Pesa ndogo tunasumbua (raah)
natukipata kubwa hamtapumua (nkt)
ukianika tuna unua (shhhaa)
ukiamua kusunda tunzindua(*2)
{MEJJA VERSE}
Pesa ndogo siwezi Kula mkate kavu
Kama haina Blueband Haikaliwi kwangu,
Pesa ndogo kuna vile Inaniuma, mpaka
Nimeshikwa na allergyYa skuma,
unakimbiza
Madame tunakimbiza madoh
ukipata doh
Utakimbizwa na madame,
Ah!! Common sense si common
Buda unabehave nika uko na ma hormones
Sikupata pesa nikuwe mpole,
Ni lazima nitasumbua,
Nitapost mtajua,
ka inakuuma unaezajiua.
( Exray verse)
wanasema ati ati nina atitude,
ati ati ati sijui am rude ,
 Ati ati ati naaawa confuse ,
ati ati ati oh nawa seduce, gai please
i need a breath yani nataka tu peace
ambiya plumber ni drip akuje ndani a fix
( na kwani Exray Ngoma gani umerealese )
 Ata Sijui,
ukipea kula panguza mdomo unyamaze
be a man Not boy silazima utangaze
 Mwenye haja uenda choo nasa mbona ukaze
vile ulitupata ibaka ivyo na si mbaka uaanze.
Written by: Tony Kinyanjui
instagramSharePathic_arrow_out