Top Songs By Ethic Entertainment
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Ethic Entertainment
Performer
Leroy Miwa Ouma
Vocals
Boniface Mwangi
Vocals
Thomas McDonald Otieno
Vocals
Peter Njau Kinya
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Seska
Songwriter
Swat
Songwriter
Zilla
Songwriter
Rekles
Songwriter
MotifOnTheBeat
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Morris Kobia Lyria
Mastering Engineer
Joey4k
Producer
Lyrics
Banana, ninayo bas tunabakana, hapo nyuma na sidika mnafanana, maana kila day bana unaitangaza
Katangaze basi baby, si hupandana, panda-panda si hupandana, katangaze basi baby, si hupandana, panda-panda si hupandana
Madibala nazimanya, nika niko na ndonyo, nikidungi nimepaka na itachoma mboto, ni kidudu nikinyanya napoteza toko, zikidundi zikinyanya nazipeleka soko
Kando ya tapo, machapo mpaka itoe dodo, pigwa finga na kidole kimejaa mangoto
Nayo Theo apa ana-knock, tunapiga goto, sampe gwara lock, tupa ka ana joto
Banana, ninayo bas tunabakana, hapo nyuma na sidika mnafanana, maana kila day bana unaitangaza
Katangaze basi baby, si hupandana, panda-panda si hupandana, katangaze basi baby, si hupandana, panda-panda si hupandana
Shandama, kaa ni mblaina inabidi aweke lawama, toka teke cheki banger basi ulala
Toto yako iyeke fiti nitakulala, under water nakwambia 'shaitangaza
Nakwambia 'shaitangaza, nine nare come na shadda tutaiwashana, pale zabe macho zangu zimenyanyana, iko ready imesteady na ni
Banana, ninayo bas tunabakana, hapo nyuma na sidika mnafanana, maana kila day bana unaitangaza
Katangaze basi baby, si hupandana, panda-panda si hupandana, katangaze basi baby, si hupandana, panda-panda si hupandana
Mpate maybe ako lit, bila pupa atawafeast, kwanza akianza story za matapa tapa ndani ya boo
Donda kumdandia atamdandia mpaka kesha, ati nguna anadaisha mboko bigi kaa amepewa
Donda anadandia ndaye ora-ora don-don, Dondaanachangia ngwai oya-oya don-don, alafu anakazia ngwai oya-oya, do-don
Banana, ninayo bas tunabakana, hapo nyuma na sidika mnafanana, maana kila day bana unaitangaza
Katangaze basi baby, si hupandana, panda-panda si hupandana, katangaze basi baby, si hupandana, panda-panda si hupandana
Banana, ninayo bas tunabakana, hapo nyuma na sidika mnafanana, maana kila day bana unaitangaza
Katangaze basi baby, si hupandana, panda-panda si hupandana, katangaze basi baby, si hupandana, panda-panda si hupandana
Written by: MotifOnTheBeat, Rekles, Seska, Swat, Zilla