Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Femi One
Femi One
Performer
COMPOSITION & LYRICS
KAKA EMPIRE
KAKA EMPIRE
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Leo sina ganji so ukilewa nakibembelezakamtoto
ID Ferrari zimebaki kwa mbosho
Huwezi jua niko nunge nikipost photo
Tunawasha kiwash wash ni ka tuko lotto
[Verse 2]
Podo moto inachoma koo leta chaser
Niko kwa dance floor zimeshika nikicheza
Vile napewa macho ka kipofu na ma mandel
Me yule mubaba pale nitampandisha pressure
[PreChorus]
Oops under the influence
Mix sheng na kizungu ni too fluent
Collabo ya kapienga na Lumumba
Tuko mwiki kwa loco after party iko Runda
[Chorus]
Mmh under the influence
Mix sheng na kizungu ni too fluent
Collabo ya kapienga na Lumumba
Tuko mwiki kwa loco after party iko Runda
[Verse 3]
Wanajua shin chiller ndo kabisa
Vile mi natisha simu zinaring
Kila siku tuko biz na shingo zina bling
Naishi dream ya shin akiwa younging
Na mi ndo tunadim
[Verse 4]
Usiulize ka hii gari inaspace
Kuna drink unaharibu ukieka chaser
To Mercedes from Calesa
Utatesa haina pressure
[Verse 5]
Hii ikuwe mwaka ya kushika mita USD
Ni kuwa mahali unafikiria niko ya ukweli
Na rap vitu unaona kwa vision ndio ujue mi
Naanzanga ka nishaona mwisho ki- Jayz
[Verse 6]
Nakuomba permission sikuwa free
Na wako na wako mission kuwa ka mimi
Na ndo maana hata hizo vitisho zao sisikii
One of one hakuna ingine ka hii
[PreChorus]
Oops under the influence
Mix sheng na kizungu ni too fluent
Collabo ya kapienga na Lumumba
Tuko mwiki kwa loco after party iko Runda
[Chorus]
Mmh uunder the influence
Mix sheng na kizungu ni too fluent
Collabo ya kapienga na Lumumba
Tuko mwiki kwa loco after party iko Runda
[Verse 7]
Kuna nganya mpya kwa route iko na AC ndani
Donda mali safi anakaa freshi kiplani
Ketchup kwa macho tunaficha na miwani
Kuna maziwa na maji utanipata maskani
[Verse 8]
Shin Chiller na mi Femi One killer
Mjusi kafiri nishadow kwa Godzilla
Macrate ziletwe na tukunywe tubebe
Matumbler usituletee tunakunywa kwa pembe
Written by: KAKA EMPIRE
instagramSharePathic_arrow_out