Top Songs By Exray Taniua
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Exray Taniua
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Tony Kinyanjui
Songwriter
Lyrics
Maisha ni yangu, we shughulika na yako, napenda za kwangu, we shughulika na kwako
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Unataka mtu simple, humble, rich, young ndio upeane namba
Unataka mtu mdark, mlight, mtall, beb tafuta wababaz
Unaplan future yetu kumbe uko alone
Maisha ni safari mi na-ride along, labda mi niomoke nikuitage form ama labda we uomoke nikujage home
Mi nayo pombe siwezi onja, aii, nakunywa yote
Na akiamua kukupatia, aii, chukua yote
Maisha ni yangu, we shughulika na yako, napenda za kwangu, we shughulika na kwako
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, kijana ni gwiji, utapangaje morio ana kashilingi kwa wingi
Mafeelings za nini mi ni jangili kamili, nasanya madenge za matajiri wa mjini, samahani
Chai fupi nmejaza maziwa (Na majan), sikusuki mi ni Trio Mio (Watagwan)
Ka hunijui unajifanya bombo (Haja gan), abiria nawapanga ka makanga wa (Kasaran)
Ama vijiti za viberiti ndani ya boxden, huwanga stosheki naget mabinti nawachoksdem
Washa ngrware tuskie fiti hadi chokdem cheza na mangoksdem
Maisha ni yangu, we shughulika na yako, napenda za kwangu, we shughulika na kwako
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sitambui-mbui, mi mchana buibui, mkiona mababi mahali leta maruirui, na niko na mashoga kibao nataka madui-dui
Sitaki kifisi niko bongo nasaka chui-chui, ukitaka mizuka, mimi ndo hooker
Tena nagwara nikidara nina vikucha, hiki kichupa shika na kupa, na huwa napenda ukipapia baba pupa
Naishi nitakavyo ondoa vikwazo, ukiona najidai jua kujikopa ndo chanzo
Nikishika ngiri natesa na majigambo, ju naona siku hizi ganji mnasafisha kwa mitambo
Maisha ni yangu, we shughulika na yako, napenda za kwangu, we shughulika na kwako
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Mi sipangwingwi, sipangwingwi
Written by: Tony Kinyanjui