Lyrics

Aah Aluta
Exray Aluta
Gwaash eehh Aluta
Ochungulo Aluta
Nipate base na maboyz tumechill tunakata mizinga ALUTA!
Na madem wakikam naonao tunakuanga girimba ALUTA!
Namawe tetewete boss utabaki umelola ALUTA!
Tuko jing' na majong' na mafans wakobase wanazoza ALUTA!
Ati forms zi ukam ni ALUTA
Ati rieng za ponyoto ni mafuta
Shikisha njiti ndo uingize ngeus chupa
Uliza Gwaash ye uwabeba na mashuka
Leta storo ndio nikuchome kibonus
Ng'ore odi ndo nikusho ukiponwa
Rungu yangu si utabaki ukishonwa
Mpige munju ndo ashikwe na homa
Hii ni tension nahitaji kuseti
Mangeus wako wengi naitaji kumedi
Bash ni ya waras sijui nikue kipedi
Ka una usoro sijui nikueke pending
Bash Iko fine juu ifike wikendi
Hawa wasupa wote nawapiga partying
Sina ndai nilipoteza car keys
Ngeus hako jaba na anadai sijui French kiss
Pate base na maboyz tumechill
Tunakata mizinga ALUTA!
Na madem wakikam naonao tunakuanga girimba ALUTA!
Namawe tetewete boss utabaki umelola ALUTA!
Tuko jing' na majong' na mafans wakobase wanazoza ALUTA!
Aluta! Aluta!
Leo mpaka
Aluta! Aluta! Aluta!
Zimeshika
Aluta! Aluta! Aluta!
Leo mpaka
Aluta! Aluta! Aluta!
Zimeshika
Aluta! Aluta! Aluta!
Oya washa tukiburn zininuke ka Sadam
Jicho nyanya tunagang' tunakaa ka Taliban
Mwite ka ni fan pewe keg tu na jug
Rombosewe na madaam asifwate Babylon
Switch position kaniendeshe kanissan
Aluta! Aluta! Aluta!
Aluta! Aluta!
Dem yangu ana mathutha
Tulikuwa tumehata hii viker
Poker to the world lazima
Hii round tutashine
Si uficho tutarise
Si uficho mtalike
Nelly hii beat imetouch (touch)
Walisema wee ndo goon nikikuja kwenye hood
Cheza chini tuwaroge
Cheza chini hii ni ngori
Hii najua mayut watafyam
Mi ushikisha bila tools
Wanajua mi ni veteran
Iwe giza iwe sunny iwe kangeta
Bado katagwara wi wi winch
Alehandro niko juu kaa ndege
Nilijam nikabuy tu ndege
Ndio nifanye bash moja genje ruka kwa jacuzzi ndio tutoe njeve
Break fast ni dry fry na sembe
Most viewed ni mangwati tu za tene
Bodyguard wangu wote ni malele
Wanadai nawabeng' kama champe
Mi ni hitman wakugondi tenje
Last week nilifuliza na unye
Wakatry kunicapture na menje
Alehandro AKA makmende
Aluta! Aluta!
Leo mpaka
Aluta! Aluta! Aluta!
Zimeshika
Aluta! Aluta! Aluta!
Leo mpaka
Aluta! Aluta! Aluta!
Zimeshika
Aluta! Aluta! Aluta!
Written by: David Omondi, ELLY OMONDI, Nelson Liena
instagramSharePathic_arrow_out